Wanasiasa , viongozi na wasomi kuweni mfano kwa vitendo

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Ni wangapi tuko tayari

  • kupanga foleni benki na shemu nyingine kupata huduma kama wateja wengine

  • kuonekana tunedesha baiskeli japo siku moja kwa wiki kwenda kazini kuonyesha utunzaji wa mazingira na kuimarisha afya

  • Tumeshonesha japo suti moja au kuchongesha viatu kwa mafundi wa mtaani kukuza ajira

  • Kunafanya manunuzi ya mahitaji ya nyumbani kwenye local market badala ya mlimani city

  • Kuutumia usafiri wa jamii kama daladala japo mara moja kwa wiki japo wana magari binafsi aukutumia usaifir wa treni badala ya ndege.
Hivi ni vitu vidogo vidogo sana lakini vinaweza kuleta mabadiliko makubwa sana.

Mkurugunzi wa jiji au Prof XYZ wa UDSM akitumia daladala kwend ana kurudi kutoka nyumbani mara moja kwa wiki sitashangaa hata huduma zitazidi kuboreka.


Nawaslisha.
 
Back
Top Bottom