Wanasiasa tazameni hili na mtafakari...

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,602
5,569
WAKATI WA VUGUVUGU LA KUPIGANIA UHURU WA MSUMBIJI, SAMORA ALIKUTANA NA MWALIMU (wote marehemu sasa) SAMORA AKAMUULIZA MWALIMU "HIVI WEWE MBONA UJAMAA WAKO UNAUENDESHA POLE-POLE???" MWALIMU AKAMJIBU "KWA HUKU KWETU INABIDI KWENDA HIVI" SAMORA AKAMWAMBIA "MIMI UTAONA NIKIKAMATA NCHI, NITATAIFISHA KILA KITU NA KITAKUWA MALI YA SERIKALI" Na kweli baada ya uhuru alitekeleza alichokisema. Haikuchukua muda mrefu yaliyotokea yote Msumbiji sidhani hakuna anayeyajua.

Kwa hili basi napenda tujifunze kitu kutoka humo. hususan wanasiasa na wale wanaotarajia kuingia kwenye siasa.
 
Sio kutaifisha kila kitu mkuu bali digrii nne zinatosha...
Kuna jambo la kutafakari hapo...
 
WAKATI WA VUGUVUGU LA KUPIGANIA UHURU WA MSUMBIJI, SAMORA ALIKUTANA NA MWALIMU (wote marehemu sasa) SAMORA AKAMUULIZA MWALIMU "HIVI WEWE MBONA UJAMAA WAKO UNAUENDESHA POLE-POLE???" MWALIMU AKAMJIBU "KWA HUKU KWETU INABIDI KWENDA HIVI" SAMORA AKAMWAMBIA "MIMI UTAONA NIKIKAMATA NCHI, NITATAIFISHA KILA KITU NA KITAKUWA MALI YA SERIKALI" Na kweli baada ya uhuru alitekeleza alichokisema. Haikuchukua muda mrefu yaliyotokea yote Msumbiji sidhani hakuna anayeyajua.

Kwa hili basi napenda tujifunze kitu kutoka humo. hususan wanasiasa na wale wanaotarajia kuingia kwenye siasa.
Mreno aliwaachia kiwanda cha kujenga mabehewa ya treni (RIP) mpe shikamoo Zamora na kiwanda kikubwa cha kutengeneza vioo vyote mabeberu weusi walitafuna.
 
Back
Top Bottom