natamani vita itokee, tupigwe sana tena sana.baada ya hapo tanzania tutakuwa wamoja mali zetu zitakuwa za watanzania wote, na kuwa na demokrasia ya kweli. Jammaaani mafisadi yanahitaji kungolewa na mtutu wa bundukikweli kabisa mm,viongozi wasituingize vitani bila sababu za msingi hekima ya kidiplomasia itumike,ni wazi na dalili ya woga kuonesha silaha pasi na kuitumia ni 'kama kuvua nguo' hadharani haifai.nikupongeze mm kwa maoni yenye kulinda na kujenga taifa letu,serikali iwe inayatendea kazi maoni adimu kama yako
Umesema vyema sana nakubaliana na wewe asilimia mia. Lakini nikusahihishe kidogo tu kuwa Tanzania haina uwezo wa kuipiga Malawi nina huakika na hilo.
Pili ikitokea vita nina tamani sana Tanzania ishindwe (mimi ni mtanzania ninaipenda sana nchi yangu Tanzania.). Hii inchi ya mafisadi ikipigwa then naamini kabisa itakuwa nchi ya watanzania baada ya Vita.
Kipimo cha watu tulionao
duh! Kama ndio hivyo kwanini tusiwaachie tu hilo ziwa mambo yaishe kwasababu mbona maliasili ziko nyingi tu huku Tanzania
Mimi tangu waanze kauli zao za kishetani nimekataa kabisa kuingizwa mkenge katika hili, Kikwete amekwenda Uganda kwenye mkutano wa Amani ya maziwa makuu, huku nyumbani vibaraka wake wanahubiri vita!! my self am out of this na niko tayari kuishi uhamishoni kuliko kuifia nchi inayotuuwa huku tukiwa hai.
Anayetaka kuninyooshea kidole mimi siyo Mzalendo na anaipe kwanza tafsiri isiyo na shaka ni nini maana ya neno uzalendo.
The very obvious thing ni kuwa hii Vita imekuwa proveked na powers beyond Malawi. Ni katika kipindi hiki cha mzozo ambapo Malawi wameondolewa vikwazo vya kiuchumi na IMF, na kupewa fungu la kutosha, Marekani naye amewapa fungu fungu alillokuwa amelizuia kama haitoshi waziri wake wa mambo ya nje naye akafunga safari last week kweenda kuitembelea na kuahidi misaada zaidi...yote haya ni katika kipindi hiki kifupi yote hayo yanatokea wakati tangu rais wao ashike madaraka hajakanyaga hata nchi moja kwenda kujitambulisha wala kuomba omba.huwezi kujua how correct uko kwenye hili. Msidhani wao watapigana hivyo vita shauri lenu!
Nchi iko katika mgawanyiko mkubwa.
JK anawalinda mafisadi sijui vita wanayotangaza watapataje support ya wananchi.
Kuna watu watawasaidia wamalawi.
Tulimshinda amini inayesadikika alikuwa na vifaa bora vya kivita kuliko sisi kwa kitu kimoja kikubwa.. Amini alitumia jeshi lake kupigana na Watanzania wote. Nyerere aliwatayarisha Watanzania wote, na wote walikuwa sehemu ya ile vita.. Hakika Tanzania ikiingia vitani kipindi hiki nchi ilivyokosa umoja itakuwa ngumu sana. HAWA VIONGOZI SINA UHAKIKA KAMA WANALIONA HILI
Nadhani uko sahihi hasa kwenye hilo la matumizi ya dharula. Usije kuta hapo inatafutwa fedha isiyokagulika kuendeshea kampeni 2015. Au watu wanataka kupata fedha kwa mara ya mwisho maana 2015 imekaa vibaya.Hawana uwezo mkubwa wa kukaa kwenye meza yamajadiliano, kwa mfano wameshindwa kujadiliana na madaktari, waalimu, wazee wa community, wanafunzi kuhusu madai yao ya msingi na aghalabu wamekuwa wakikimbilia FFU kutuliza.
Lakini above all in times of war people make money, isije kuwa wanaombea vita ili wafaidi kwenye expenditure ya dharura wakati wa vita.