Wanasheria Z'bar kupendekeza Z'bar kuwa na tume yake ya kukushanya maoni

Ni kweli kabisa hiyo inaleta mantiki ukizingatia idadi za watu wa Tanganyika na wale wa Zanzibar. Sasa inakuwa vizuri maoni kutoka Zanzibar yapewe kipaumbele chake kwani hiyo ni nchi kamili na yasichukuliwe kama mkoa au wilaya
 
Jamani nimekuwa nikisema kila siku hawa jamaa waacheni tu...kwani wakiondoka watanganyika tutaloose nini?
 
..hii inanihakikishia kwamba Zanzibar hawana mpango wa kuvunja muungano.

..kelele zote za wa-Zanzibari ni kutafuta nafasi ya kuinyonya na kuitumikisha zaidi Tanganyika kwa manufaa yao.

..Zanzibar tayari wana serikali yao, bunge,na mahakama, sasa nini kinawazuia kujitoa ktk muungano?
 
Jamani nimekuwa nikisema kila siku hawa jamaa waacheni tu...kwani wakiondoka watanganyika tutaloose nini?

hata kesho wafunge virago ..... tena na lile li armored cable la baharini likatwe kabisaaaa
 
Back
Top Bottom