Mimibaba
JF-Expert Member
- Jul 1, 2009
- 4,557
- 1,291
Katika hili la Dowans hakuna anaeweza kuzuwia award ya ICC. Simpo.
Naomba nifahamishe maana sielewi anayesajili hiyo tozo/tuzo mahakama kuu ni nani? Kwa akili yangu ni Dowans ila hofu yangu ofisi ya mwanasheria mkuu nayo inaweza ikajiingiza kusajili maana imeafikiana na hukumu. Ebu nisaidieni.