Wanaposema wanaume adimu inamaanisha wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi

Masuala ya wanaume adimu
yanakwenda sambamba na unemployment rate.....ya nchi husika
 
Natalia leo uko juu mwendo huo huo,ukiona vp ni PM ili upate PEACE OF MIND. Leo ni siku ngumu kwako!
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wanaume mnaua huyu mtu jaman mpeni liwazo lolest!
 
Sasa niwe na pesa, halafu nijue mapenzi.... pesa itatumikaje hapo sasa!!!! Nikishakuwa na pesa watakuja wengi tu kwa kutaka hizo pesa, sina sababu ya kutumia nguvu.
 
Unastahili maoombii eheee wengi wameombewaaaaaa!!! Ndio ukubwa huo kuumizwa kupo,next time ukiwa in relashionship usiingie mazima!!
 
Ndio hivyo uwe na sifa hizo mbili au moja kati ya hizo...lakini huna pesa...haya mapenzi hujuhi...afu na wewe unatumia usemi wanaume tupo wachache...huu usemi hauwahusu wanaume wote ni wale wenye sifa kati ya hizo au zote.

Sasa niwe na pesa, halafu nijue mapenzi.... pesa itatumikaje hapo sasa!!!! Nikishakuwa na pesa watakuja wengi tu kwa kutaka hizo pesa, sina sababu ya kutumia nguvu.
 
Back
Top Bottom