Wanaowaacha Wapenzi wao

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
Usimuache mpenzi wako kisa Umesikia stori fulani kumhusu kutoka kwa mtu ambaye huna hata uhakika kama stori anayosema ameiona kwa macho au nae amesimuliwa,si ajabu aliyemsimulia naye alisimuliwa na aliyesimuliwa na mtu aliyesimuliwa na msimulizi aliyesimuliwa.

kabla hujafanya maamuzi kuwa na hakika unachotaka kukifanya ni sahihi na una ushahidi mgumu(solid evidence) kumtia hatiani mtuhumiwa, badala ya kujump into conclusion.

kabla hujafanya maamuzi yako just know that kuna watu kazi yao ni kuongea kuhusu watu fulani ili kuharibu. Sometimes hata marafiki zetu wa karibu unakuta anaumia kuona mnapendana na hutafuta njia ya kuwaachanisha, unakuta yeye Mapenzi yalishamshinda siku nyingi,sasa kazi yake imebaki kuharibu ya watu wanaopendana,kwa sababu wao kupenda kwao ni msamiati.Be sure before you break up kabla hujajuta baadae....

nayasema haya sababu ilishanitokea kwenye moja ya unsuccesiful relationship zangu, msichana aliamua kuachana na mimi kisa kaambiwa mimi muhuni nna wanawake wengi pamoja na kuhakikishia penzi langu la dhati kwake hiyo haikutosha kushinda pressure ya waliomjaza maneno ya kichochezi kuishia kuvunjika kwa uhusiano wangu...
 
Mmmhh, Tevin Campbell aliwahi imba wimbo hivi
Nimeusahau tu kwa sasa.
 
kazi ipo kwenye kuipata hiyo "solid evidence" especially kwa mtu ambaye mko nae mbali,kwa upande mwingine sio vizuri kufanya maamuzi kwa kukurupuka.
 
pole alipoondoka hujui Mungu kakuepushia nini
dont cry duniani wako wengi tu wazuri zaidi yake
 
pole sana mkuu, kama mtu una future na mpenz wako cdhan kama utasikiliza maneno ya watu na kurun into conclusion na wewe pia unatakiwa ufanye uchunguz kwan ukwel utaujua tu! huyo alikua hakupendi
 
Mtoa mada umeongea jambo la maana sn,kuna mtu aliwah kuniacha kwaajil ya maneno ya kuambiwa lkn badae aligundua kuwa ni uongo,alijaribu kujirudisha but he was late,sikuwa namhitaj tena iwe kwa urafiki wa kawaida au vyovyote.Kwhy jaman tuwe makin na maneno ya kuambiwa.
 
Back
Top Bottom