Wanaouza passport zetu ni watanzania au ni Watusi?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Wazee naombeni mnisaidie kwenye hili, passport zinachukuliwa sana na wageni hasa kutoka Burundi, Rwanda, Kongo, Kenya, Nigeria, Ghana nk.

Hivi jamani mtanzania atathubutu kuuza passport ya taifa lake? Hana uchungu au wivu na taifa lake? Nilikuwa Tunduma last week Wanaigeria waliovushwa pale na passport zetu hawahesabikii.

Hivi jamani hao wanaofanya kazi ya kutoa passport ni wenzetu, au nao wageni?

Mbona mnanichanganya?
 
wazee naombeni mnisaidie kwenye hili,passport zinachukuliwa sana na wageni hasa kutoka burundi,rwanda,kongo,kenya,nigeria,ghana,nk,,hivi jamani mtanzania atathubutu kuuza passport ya taifa lake??hana uchungu au wivu na taifa lake???nilikuwa tunduma last week wanaigeria waliovushwa pale na passport zetu hawahesabiki,,hivi jamani hao wanaofanya kazi ya kutoa passport ni wenzetu,au nao wageni????mbona mnanichanganya?????????????


Mwenye ufunguo wa nchi yako ni mtanzania mwezako. Wewe unaona wasiokuwa na uchungu au wivu na taifa lao ni hao wauzaba passport? Angalia Mafisadi na wauza unga, hawa wana uchungu na taifa letu?. Wanaotuumiza ni watanzania wenzetu tena ambao tumewaamini sana na kuwapa mamlaka katika ofisi mbalimbali za serikali.
 
Back
Top Bottom