"Wanaotengeneza ARVs feki nitakufa nao":EFRAHIM KIBONDE

Mtangazaji machachari wa kipindi cha Jahazi cha Clouds Fm..Efrahim Kibonde leo jioni kwenye kipindi ametangaza vita na wote waliotengeneza na kusambaza dawa bandia za kurefusha maisha kwa wahathirika wa HIV/AIDS...Akizungumzia sakata ilo kwa sauti ya uchungu na hasira tofauti na kawaida yake ambapo amezoeleka kuongea kwa mzaha alisema,namnukuu..."wale wote waliotengeneza na kusambaza ARVs feki nitapambana nao mpaka ajulikane tatizo ni nani na achukuliwe hatua,alijalisha hili na halitoisha ivi ivi ili..waingereza wanasema they should shall suffer the consequences"..mwisho wa kumnukuu.

Kwa niaba ya JF natoa pongezi kwa ndugu yetu Kibonde kwa kuonyesha moyo wa upendo na kujali kwa ndugu zetu wahathirika...naomba wengine pia mjitokeze kumpa pongezi.

Watanzania tumezidi upole, ama tumekuwa mazumbukuku wote au la tuna laana ya aina yake.
Kweli mtu anakuja toka kwao huko, anakuja na kuomba mihela ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza ARVs. Hela hizi zetu na wanazichukua toka benk zetu. Anatutengezea feki na hapeleki kwao ila anatuuzia sisi, jamani !!!
Sisi mazumukuku hata wa kulalamika utasikia polisi wanawalinda bila kujali kuwa wenye kuathirika na hizi dawa ni sisi.
Ingekuwa China asingetoka mtu. Naomba bunge lipitishe sheria ya hukumu ya milele kwa wageni na wenyeji waliohusika na kuimarisha janga hili la UKIMWI.
Kama hakunakiongozi aliyehusika na hata kama yupo huyo ni adui wa Nchi hii.
Kibonde ujee ngenge!!!!
 
Huyu Ephraim Kibonde is a nice person.actually huyu Ephraim ndiye aliyesababisha mimi niifahamu Jamii Forum,maana alisema ukitaka kufahamu hizi gossip nyingi soma JF. Lakini sasa hii venture yake ya kuwasaka wanaouza ARV bandia haina maana sana,sijui anatka kugundua nini. Juhudi zingeelekezwa kutafuta AIDS imetoka wapi,halafu utaona it is very interesting. AIDS inatokana na US Army research kutafuta biological weapon,na imesambaza makusudi Africa na WHO ya United Nations kwa kuchanganywa na small pox vaccine. Again,HIV imeenezwa kwa makusudi. I don't want you to believe this. Juat do the research yourself,and see what you think.
Vinginevya,huyu Kobonde nadhani he will be suicided with his wonderful investigation.
 
ninavyofahamu mimi hapa jamvini kumekua na thread nyingi sana za kumwandama huyu mtangazaji wa Clouds, bwana kibonde, lakini kwa hili hebu tumuunge mkono kwani wote ni waathirika kwa namna moja au nyingine, kama si wewe basi lazima kuna ndugu yako................ huo ndio ukweli.
 
huyu ephraim kibonde is a nice person.actually huyu ephraim ndiye aliyesababisha mimi niifahamu jamii forum,maana alisema ukitaka kufahamu hizi gossip nyingi soma jf. Lakini sasa hii venture yake ya kuwasaka wanaouza arv bandia haina maana sana,sijui anatka kugundua nini. juhudi zingeelekezwa kutafuta aids imetoka wapi,halafu utaona it is very interesting. Aids inatokana na us army research kutafuta biological weapon,na imesambaza makusudi africa na who ya united nations kwa kuchanganywa na small pox vaccine. again,hiv imeenezwa kwa makusudi. I don't want you to believe this. Juat do the research yourself,and see what you think.
vinginevya,huyu kobonde nadhani he will be suicided with his wonderful investigation.


mmmh
wape salam zao huko buguruni kwa mnyamani kiongozii
:a s 103:
 
Haijalishi Kibonde ni nania au ana mahusinano gani na mada tajwa hapo juu? Ukweli ni waliotengeneza RV feki ni wauwaji tena ni wauwaji wa halaiki ya watu sawa na Adolph Hitler. Wanako staili kwa sasa hivi ni Jehanamu.
I believe nowadays there are a lots of people who are afraid of taking ARV bcause they are not sure of which is which between ARV fake and the true ones. Enzi za mwalimu wakina Madabida wangekuwa wako ndani, kiwanda kimefungwa na wameishafilisiwa zaamani. Sio sasa tunawasikia kwenye maradio wakiongea, Mwl was a man of nonsense, sometimes udikteta ni bora kuliko demokrasia.Kibonde pambana nao hawa wauwaji ingawa vita yenyewe ni ngumu kuipigana
 
nimemnukuu..sijaongeza wala kupunguza neno.

wadau mie nadhani viko vitu vingi sana fake na viko sokoni, mfano usione watu wakinoa meno ukaafikiri ni hali ya kawaida, sio ajabu dawa tuzitumiazo zimo humo humo, yako mengi jamani tuwe macho, na mamlaka zinazohusika watusaidie kwa hili kwa nguvu zote.
 
wimbo: Mchiba kisima kaingia mwenyewe kaingiaaaaaaaa x2 Kwenye starhe tinga tinga limefikaje x2
 
Atawaweza? Ahesabu hasara tu. Watu wa namna hiyo lazima wawe viongozi wa CCM na kukifadhili ili kupata protection.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom