Wanaotembea nusu uchi wana lao jambo……….!

Usimjudge mtu kabla hujajua namna yake ya kufikiri ....sababu ya kufanya afanyayo kwasababu wewe sio mtaalamu wa kujua mawazo na nia zao. Uliza...ili ukisema kitu kuhusu mtu hata kama ni mmoja uwe na uhakika na unachokisema.

Maneno kuntu hayo!
 
Lizzy,kabla hujafika huko kwa aliyevaa nguo fupi anajionaje au anajiamini ama la,faham tu kuwa kuvaa nguo fupi ni ishara tosha ya kutokujiamini,sasa nakuuliza ni wanawake wangapi utapishana nao wamevaa nguo fupi au za kubana?Ni "wengi"au "wachache"?Utapata jibu!
 
Najiona nilivyo na nnajiamini.
Swala la ''wengi wanavaa'' sio ishu...ishu ni kwanini wanavaa.Mimi sina haki ya kukuamilia sababu ya wewe kuvaa uvaavyo kama ambavyo na wewe huna haki ya kumuamulia mwanamke yeyote sababu ya yeye kuvaa avaavyo unless umeongea nae ukamsoma na kujua mawazo yake kumhusu yakoje na sababu ya yeye kuvaa avaavyo.

Jifunzeni kuewa watu wengine kiukweli badala ya kujifanya mnajua kutokana na mazoea/makuzi yenu.Jua watu tunatofautiana...mawazo yako sio yangu na yangu sio yako wala hayatakaa yawe...hivyo hivyo sababu zetu za kufanya mambo.
 
Ni kutokujiamini
amini usiamini hata ukijikwida vazi la gunia kama mzuri mzuri tu na utatongozwa na hata pia kuolewa
 
Lizzy,hapa ishu sio kumuamulia yoyote namna ya kuvaa,tunazungumza sababu ya kuvaa hivyo,wakati mwingine haiitaji kuongea na mtu ili ujue anavyofikiri anayoyafanya yanaeleza kila kitu,labda nikuulize sababu za kuvaa nguo fupi ni ipi?
 
Najiona nilivyo na nnajiamini.
Swala la ''wengi wanavaa'' sio ishu...ishu ni kwanini wanavaa.Mimi sina haki ya kukuamilia sababu ya wewe kuvaa uvaavyo kama ambavyo na wewe huna haki ya kumuamulia mwanamke yeyote sababu ya yeye kuvaa avaavyo unless umeongea nae ukamsoma na kujua mawazo yake kumhusu yakoje na sababu ya yeye kuvaa avaavyo.

Jifunzeni kuewa watu wengine kiukweli badala ya kujifanya mnajua kutokana na mazoea/makuzi yenu.Jua watu tunatofautiana...mawazo yako sio yangu na yangu sio yako wala hayatakaa yawe...hivyo hivyo sababu zetu za kufanya mambo.

Lizzy,hapa ishu sio kumuamulia yoyote namna ya kuvaa,tunazungumza sababu ya kuvaa hivyo,wakati mwingine haiitaji kuongea na mtu ili ujue anavyofikiri anayoyafanya yanaeleza kila kitu,labda nikuulize sababu za kuvaa nguo fupi ni ipi?

Kama ukisoma kwa umakini nilichoandika hapo juu hutaona niliposema mnawaamulia cha kuvaa bali SABABU YA KUVAA wanavyovaa.

Kuhusu kwanini mtu anavaa nguo fupi nilishaeleza kwenye post yangu ya kwanza..SELF SATISIFACTION....kama wewe sivyo unavyoishi kwa kujirihisha mwenyewe jua wengine wanafanya hivyo.
Alafu unaposema huhitaji kuongea na tu kujua anavyofikiri una maana gani???Wewe una uwezo wa kusoma mawazo ya mtu???Wewe unasomeka kwa kuangaliwa???Una uhakika kwamba kila mtu anayaelewa matendo yako kwa namna unavyoyaelewa wewe???Matendo ya mtu hayaelezi kila kitu kwasababu kila mtu ana namna tofauti ya kuangalia mambo.Mimi na wewe tunaweza tukamtazama mtu mmoja akiwa anafanya kitu fulani na mawazo yetu juu ya kinachofanyika kikawa tofauti kabisa....vile vile watu wawili wanaweza wakafanya kitu kimoja ila kwasababu na nia tofauti kabisa.
 
Lizzy bana!Sikia,ili nimesema kuwa wakati mwingine na sio kila wakati,lakini pia kama hujui namna mtu anavyoonekana inawakilisha mawazo yake,ili ujue namna mtu anavyofikiri kwa kumwangalia kwa nje inatakiwa uwe na elimu ya utambuzi ili uweze kutambu,hakuna mtu anaejiridhisha kwa kuonsha maungo yake haradhani unless una matatizo ya akili,lakini kama ni mzima utakua na sababu nyuma ya watendo yako!
 
Sasa kama huo wakati mwingine ndo unaongelewa waliobaki wao wanafanya kwasababu ipi....kwa uelewa wako|???

Neway kwasababu umeshasema ni wakati mwingine basi sina budi kupumzisha keyboard yangu maana umepata point...''wakati mwingine'' hata mimi naamini ipo ila sio ''wengi'' wala ''mara nyingi''.
Be blessed.
 
Lizzy,naamini utakua umepata poit yangu pia,wakati mwingine maana yake kuna mambo au matendo yanayomzugumzi mtu moja kwa moja,kwenye suala la nguo fupi ni "wengi" wala sio "wachache"nami wacha niendee na mambo mengine,Be blessed too!
 
Karibu utatue tatizo langu!!!!!!! enheeee!!!!!!! sasa yupi kati ya hao nitamtambua kuwa anafix tu umbo na yupi anagive up masukari kitaa coz si unajua mkumbwa! na vip afix umbo lake katika mazingila hao ya utata mtupu badala ya kutafuta njia ambayo itamfanya aonekane bora zaidi kama uchangamfu ukarimu upole heshima kujiamini na mengineyo mengi? mmH!!! wanajamii huyu kasaini mkataba kule maandishi matatu na hii ni sera yake mpya ili ma besness yaendelee kwa kigezo wengi wanafix maumbo, nyie mnaonaje wanajamii maana kila mtu ni anhaa!!! kumbe, yeyo mchambuzi!!! vip na mi nikisema leo mtu akilala kichwa chini miguu juu asubuhi anaamka yuko alabama mtasemaje? ha! ha! ha!haaaaaaaaaaaa! wanajamii karibuni kwangu mpumzike.
 
Kwahiyo wewe unatoka nje ili utongozwe/uolewe???

Namaanisha sio lazima kuonesha maungo yako ndo upate mwanamme wa k*** naye
mwanaume analidhika na mwonekane wowote wa mwanamke na si kuvaa nusu uchi.
 
Namaanisha sio lazima kuonesha maungo yako ndo upate mwanamme wa k*** naye
mwanaume analidhika na mwonekane wowote wa mwanamke na si kuvaa nusu uchi.

Kwani kila mtu anavaa ili kupata mwanaume????
Sio kila mtu anahitaji kusifiwa na watu ili ajisikie vizuri au ajue yeye yuko juu...na sio kila mtu anaishi kwa kuridhisha nafsi za wengine ili na wao wairidhishe yake kwa sifa.
 
Kwa mujibu ya mada
 
Back
Top Bottom