Wanaosoma Chuo cha sanaa Bagamoyo wanapata mkopo?

Konzogwe

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
434
155
(Nauliza kwa niaba) Nahitaji kusoma chuo cha sanaa Bagamoyo lakini ukweli ni kwamba sina hela kumudu fees...

Naomba niulize kwa anayejua,hivi hamna MKOPO kama ilivyo univarsities?

Au kama kuna namna nyingine ya msaada niambieni.
 
Sidhani kama bodi inatoa mikopo kwa chuo cha sanaa.....Bagamoyo.kaza msuli utafute ada ukasome....kama kweli wataka kusoma pale...
 
(nauliza kwa niaba)nahitaji kusoma chuo cha sanaa bagamoyo lakini ukweli ni kwamba sina hela kumudu fees...naomba niulize kwa anayejua,hivi hamna mkopo kama ilivyo univarsities? Au kama kuna namna nyingine ya msaada niambieni.

Naomba kiifufua hii post tena.

Karibuni.
 
Back
Top Bottom