Wanaoshanglia 'adhabu' hiii...........

Makabila baadhi ya mikoa ya kusini hayalawiti...
1. Utabanwa hadi utoe kitita cha pesa..
2.Baada ya kukaidi onyo la kuacha mapenzi na mkewe,mume huweza kwenda na kuroga,ambapo siku nyingine utakayomwingilia mama huyo,utaugua hadi kufa! Mojawapo ya mateso ni kukojoa vitu asili ya dagaa,badala ya mkojo wa kawaida.. Mwishowe,kifo!
 
...ila cha ajabu huwa,hawaachi wake zao kwa sababu ya ugoni....!!

hilo ndo la ajabu mno..
eti unamuadhimu mwanaume..
unabaki na mkeo..umemsamehe....
ni sawa na kumwambia mkeo halikuwa kosa lake...
so hata akirudia tena,sio kosa lake...
 
Inaelekea kuna mambo yameshakupata . siyo bure mkuu paka uanzishe huu uzi.
 
Inaelekea kuna mambo yameshakupata . siyo bure mkuu paka uanzishe huu uzi.

ha haa haa
wewe ukiwa na akili hizo humu ndani utawahukumu watu weengi kwa makosa
mtu anaweza anzisha mada ya nyumba ndogo while hata mke hana...unasemaje hapo?...
 
hilo ndo la ajabu mno..
eti unamuadhimu mwanaume..
unabaki na mkeo..umemsamehe....
ni sawa na kumwambia mkeo halikuwa kosa lake...
so hata akirudia tena,sio kosa lake...

Yeah,ni kweli The Boss ... Upo ushahidi wa waume waliofumania wake zao zaidi ya mara moja,na bado wako na wake zao..
 
siku hizi ndo hawaachi
ila zamani huko kusini mwa kanda ya ziwa anaachwa sana

tena na mahari wanaidai vizuri

Kuachana kupo sana,ila si sababu ya ugoni.. Imegeuka kuwa ni dili...

Hata kama kuna kudai mahari..mahari si ya gharama sana,na kwa makabila ya kusini hawaoni fedheha kwenye vitu kama hivyo.. Nadhani mila za unyago zinawapotosha sana..
 
haipaswi kuwa fedheha ya mwanaume
ni maamuzi tu ya mwanamke sometimes fo fun..
 
The boss kuna mtu kakutisha nini kama vipi achana na nyumba ndogo tulia ili swala la kulawitiwa uwe unalisikia tu na likupitie mbali.

...hahahah...

e bana sio siri, hili jambo linahitaji tafakur mpya kwakweli...
 
haipaswi kuwa fedheha ya mwanaume
ni maamuzi tu ya mwanamke sometimes fo fun..

Ndiyo ni ya mwanamke generally...

Ila ndiyo nimemjibu Kongosho,huko hawajali tu! Wanawake kiujumla ni watu waliopinda! Wanaanza mambo mapema sana.. Wana lugha chafu na obscene words hata mbele ya watu waliowazidi umri...
 
ha ha haaa mbu achana speculation bana...
changia mada aisee...

...lol....nichangie nini ilhali sijawahi tongoza wala tembea na mke wa mtu bana?
hata nikisikia wangu anaibiwa ni aheri nimpe ruhusa tu akaliwe kihalali...
-hii ya kumfanyia liwati mwanaume mwenzangu haijatulia kabisa..

Sintogombana na mwanaume mwenzangu hata siku moja kwa maamuzi ya mamsap..:A S-coffee:
 
Mbu mimi nazungumzia hii adhabu ilivyo
popular na kukubalika kwa jamii yetu...
wewe unaweza sema haikuhusu...but usisahau una watoto,kaka,wajomba na kadhalika..
jamii iliyotuzunguka inaweza kumkumba mtu unayemfahamu...
hii mentality ya 'uhalali' wa adhabu hii unaonaje??????
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...Acha kunichimba bana, hahahaha...anyway, msimamo wangu ni huo huo,
hiyo adhabu siiafiki bana,...

madhali hajabakwa, mkosa ni mke hapo...mwenyezi mungu atunusuru na walaghai
wallah..
 
Kulawiti ni kosa la jinai na adhabu yake ni miaka 30 jela na viboko 24, kumi na viwili wakati anaingia na kumi na viwili wakati anatoka.

...lol, hivi ukishafumaniwa na mke wa mtu kisha ukalawitiwa, utapata nguvu ya kwenda shitaki?
hapana bana,...mungu atunusuru tu, najua nitachomfanyia huyo 'mume'
 
Kulawiti ni kosa la jinai na adhabu yake ni miaka 30 jela na viboko 24, kumi na viwili wakati anaingia na kumi na viwili wakati anatoka.
Haukumalizia mkuu: 'Akamuoneshe mke wake" :lol:

On a serious note: hii ni kweli kua mwanaume anapewa adhabu hiyo mtaani?
 
Sintogombana na mwanaume mwenzangu hata siku moja kwa maamuzi ya mamsap..:A S-coffee:

Basi kuna watu wanaona sifa kwenda kugombana na aliyecheat na mwenza wao. Tena wanajitapa na vipua vyao juu wamevibinua.

To each his/her own but I fail to see the logic in it. Mtu aliyekucheat is he or she really worth fighting for? Maybe it is to some but definitely not me.

I will fight for a worthy cause but not for a lost one! Kama nina mke halafu anicheat she might as well kiss the marriage goodbye coz I ain't gonna fight, confront, nor say any bad word to her paramour. Never ever.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom