Wanaosema tunaachiwa MASHIMO Muwapuuze-NGEREJA

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,402
7,310
chanzo star tv-habar,anasema watanzania muwapuuze wale wote wanaosema tunaibiwa madin na kuachiwa mashimo,anadai serikali iko makini(atakama kuna viwanja vya ndege katika migodi)
Mi binafs najiuliza je tunachopata kinalingana na uhalisia
Iwa mwema
Wakatabahu
Adharusi
 
Atasema nini si juzi hapa alikuwa huko kuomba fedha za sherehe ya miaka 35 ya CCM na yeye mwenyewe Ngereja alikiri kukilimia fedha hizo,angoje tu bado kitambo kidogo atajikuta lupango huyo
 
Back
Top Bottom