Wanaopajua dodoma mniambie.

dodoma nzima ila nahisi wengi wananijibu maeneo ya mjini.

Kama ni Dodoma Nzima-Okey fuatilia hii
  • Kibaigwa ni sehemu nzuri sana kuna nyama ya kuchoma ya mbuzi. Kibaigwa iko kati ya Gairo na Hifadhi ya Mifugo"Narco-Kongwa"
  • Matui mi sehemu nzuri pia kupata mbuzi, kuna warangi na wafanya biashara wengi wa ng'ombe na mahindi. Iko kati ya Mnada wa kuuza mahindi(Strategic Grain Reserve-SGR) Engusero na Kijiji ha jirani Chekanao na Machiga.
  • Ukiingilia pale Chalinze ya Dodoma kushoto kama unakuja Dodoma Toka Moro kuna pita hadi njiapanda ya kwenda Mpwapwa. Kongwa mjini Karibu na NMB kuna sehemu kali imefunguliwa juzi juzi. Fika hapo chakula ni kiwango au nenda sokoni kwa supu za kiswazi.
  • Kondoa mjini nenda Washington Lodge karibu na Stendi mpya ilikohamishiwa hapo panafaa pia kwa kulala na kupata msosi.
  • Ofcoz nimesahau na Bereko ni katika wilaya Kondoa ukitokea Dodoma pia baada ya Makutupora kuna Pori Balaa hadi uvushwe kwa Escort wapo Polisi wanasindikiza magari, Nenda hadi Chenene na Aneti kuna nyama choma humo njiani.
  • N'way pale Bahi baado hapajachangamka labda ukamoune Betty Mkwasa mkuu wa wilaya atakusaidia ila uwe makini Uranium pale iko nje nje,itakurarua upofuke.
Kama unahitaji na bado sema nikuongoze.
Karibi Nkuhungu-:peep:Karibu Dodoma.
 
maelezo mazuri. Ahsante sana.
 
kama mpenzi wa mbuzi katoliki tukutane jacana, carebean miyeyusho.kama bia tukutane Revola, bar flani iko mitaa ya nkuhungu, full utulivu, kama nyama ya kuku mambo chako ni chako ingawa jioni ndio mzuka zaidi na kama nyama ya mbuzi au ng'ombe then mambo mnadani
 
Hiyo pia nzuri, kazi kwake
 
mmh! Huko sitopata utulivu.

Sasa hata hujafika unalalama.....?

images
 
Ukipata muda nenda mtera katembelee lile bwawa letu,
Nenda Chilonwa huko utamkumbuka Chonya wa Shida
Pandambili wapajuwa wewe? ni muhimu kupajua pana kahistoria fulani muhimu
Siku nyingine nenda mvumi nyumbani kwa .. huko utajua definition ya maendeleo
Kwa starehe zako za utulivu pitapita maeneo haya:
St. Gaspar
Royal Village Area D
Desert Palm Area D
Kitoli
Savanah- Iringa Road
Twiga hotel
Gold coin
Police jamii
Fujo fujo nazo zina raha yake, hebu pita CnC (chako ni chako), Rose garden area C, Mpepo area C, Ipo ****** baa maeneo ya stend, Four ways Singida road,Club la azizi Makole hapo huwa kuna live band na Club 84. Hizo ni kwa kuanzia tu.
 
and where the H is Kaizer..................?

Husninyo..................wasiliana na Mkiti wa JF Dodoma wing Kaizer......then tutapanga makaribisho rasmi, bahati mbaya niko safarini Singida

Karibuu makao makuu!
 
Kama ni Dodoma Nzima-Okey fuatilia hii

  • Kibaigwa ni sehemu nzuri sana kuna nyama ya kuchoma ya mbuzi. Kibaigwa iko kati ya Gairo na Hifadhi ya Mifugo"Narco-Kongwa"
  • Matui mi sehemu nzuri pia kupata mbuzi, kuna warangi na wafanya biashara wengi wa ng'ombe na mahindi. Iko kati ya Mnada wa kuuza mahindi(Strategic Grain Reserve-SGR) Engusero na Kijiji ha jirani Chekanao na Machiga.
  • Ukiingilia pale Chalinze ya Dodoma kushoto kama unakuja Dodoma Toka Moro kuna pita hadi njiapanda ya kwenda Mpwapwa. Kongwa mjini Karibu na NMB kuna sehemu kali imefunguliwa juzi juzi. Fika hapo chakula ni kiwango au nenda sokoni kwa supu za kiswazi.
  • Kondoa mjini nenda Washington Lodge karibu na Stendi mpya ilikohamishiwa hapo panafaa pia kwa kulala na kupata msosi.
  • Ofcoz nimesahau na Bereko ni katika wilaya Kondoa ukitokea Dodoma pia baada ya Makutupora kuna Pori Balaa hadi uvushwe kwa Escort wapo Polisi wanasindikiza magari, Nenda hadi Chenene na Aneti kuna nyama choma humo njiani.
  • N'way pale Bahi baado hapajachangamka labda ukamoune Betty Mkwasa mkuu wa wilaya atakusaidia ila uwe makini Uranium pale iko nje nje,itakurarua upofuke.
Kama unahitaji na bado sema nikuongoze.
Karibi Nkuhungu-:peep:Karibu Dodoma.

Umesahau sehemu nyeti sana; akifika pale Kelema Balai asisahau kuweka kituo na kuagiza ndege ili aburudike. Ninaposema ndege simaanishi eropleni bali ni kweleakwelea wa kukaanga (aka ndee Sese na Ntoki) ni watamu kwelikweli, unatupia mmojammoja kinywani.
 
Wapenzi naombeni kujua maeneo ya kujidai/mtoko katika mkoa wa dodoma. Napenda sehemu tulivu ambazo hazina makelele. Nataka niwe najipa mtoko angalau weekend katika kipindi chote nitakachokuwa huku. Thanx.

Heshima kwako Husninyo,

Sehemu nnzuri ya kulala nenda Gold Coins ipo area D inatazamana na makao mapya tarajiwa ya Waziri mkuu,
Bei ya chumba tsh 30,000/= plus breakfast.full kiyoyozi joto la Dodoma utakuwa umelipiga chenga.Ni sehemu tulivu hakuna machangudoa labda ukatafute sehemu nyingine.

Unaweza kubadili sehemu ya kula kutegemea na aina ya vyakula unavyopenda.DodomaHotel ni sehemu ambayo unaweza kupata vyakula vya aina mbali mbali kuanzia vyakula vya kihindi,kichina na nk.Kama una usafiri binafsi gari likileta shida nenda Action Garage authorised dealer wa Toyota pia wanatengeneza magari ya aina tofauti na Toyota.

Natumaini nitakuwa nimekusauidia kidogo.
 
Aah we zunguka zunguka hapo mjini, ila nje ya mji kidogo kuna MoteL moja nzuri barabara kuu kelekea Mzani mpya,Nyerere square nyuma jengo la chama cha kijani kuna sehemu utapata maakuli na mishkaki.
Sijajua uwezo wako kifedha ila Lodge/Hotel zipo nyingi kuanzia 12000/= hadi 40000/=

Karibu Nkuhungu,Karibu Dodoma.
Kwenye red nimekumbuka mbaaaali sana, enzi hizo nilkuwa nakunywa Plisner Ice bardiiiii.
 
Wapenzi naombeni kujua maeneo ya kujidai/mtoko katika mkoa wa dodoma. Napenda sehemu tulivu ambazo hazina makelele. Nataka niwe najipa mtoko angalau weekend katika kipindi chote nitakachokuwa huku. Thanx.
Kama kanisani au? Maana kwa weekend panafaa.
 
Umesahau sehemu nyeti sana; akifika pale Kelema Balai asisahau kuweka kituo na kuagiza ndege ili aburudike. Ninaposema ndege simaanishi eropleni bali ni kweleakwelea wa kukaanga (aka ndee Sese na Ntoki) ni watamu kwelikweli, unatupia mmojammoja kinywani.
Duh huko mbona mbali sasa kwani anaenda Kondoa? Aisee hivyo vindege ni mifupa mitupu na ukila vinasimama tumboni ile mbaya.
 
Back
Top Bottom