Wanaopajua dodoma mniambie.

Kama una usafiri jaribu kwenda mnadani Msalato jumamosi huwa unanoga sana, hapo utajichanganya na wapiga kura ambao hawajui ufisadi wala maisha bora, wao nyama inatosha! it's really fun...uta-enjoy mkuu.

ni umbali gani kutoka dodoma mjini?
 
Kuna area d Pale akwa komu kuna upepeo MURWA UKIla nyamaa mbuzi nyuma yake kuna hostel za cbe unavuta na totoz wa kujisevia
 
ungesema mapema tusikupe anga za totoz. Utahitaji huduma ya "massage" nikupe location???

nilisahau kusema. Sio mbaya itawanufaisha wengine. Niambie hiyo location ya massage, scrub + hair dressing.
 
nilisahau kusema. Sio mbaya itawanufaisha wengine. Niambie hiyo location ya massage, scrub + hair dressing.
Huduma ya massage inapatikana New Dodoma Hotel. Saloon nzuri ya kike ipo opposite na TRA Dom karibu na Twins phamacy(nimesahau jina) hapo utapendeza mpaka basi, wagogo wasije kung'ang'ania. Utahitaji na sehemu ya "gym"???
 
Wapenzi naombeni kujua maeneo ya kujidai/mtoko katika mkoa wa dodoma. Napenda sehemu tulivu ambazo hazina makelele. Nataka niwe najipa mtoko angalau weekend katika kipindi chote nitakachokuwa huku. Thanx.

karibu dom aisee.wengine tuna muda kidogo huku.kabla ya kukushauri kwanza kwanza tuambie unakunywa vinywaji gani?
 
Huduma ya massage inapatikana New Dodoma Hotel. Saloon nzuri ya kike ipo opposite na TRA Dom karibu na Twins phamacy(nimesahau jina) hapo utapendeza mpaka basi, wagogo wasije kung'ang'ania. Utahitaji na sehemu ya "gym"???

mwenzangu! Wasije wakanifataki. Gym hapana mpenzi, mazoezi yangu huwa ni ya kuruka kamba tu.
 
Kuna hotel nzuri inaitwa Golden Crown!! Nenda kajieonee mwenyewe!!
Ipo maeneo ya Area A njia ya kwenda Nkuhungu!
 
Karibu sana dom ukifika nkuhungu kwa swai niulizie nitakupeleka viwanja,kuhusu hela usijali ila si fisadi wala sijatoka familia ya kihivyo.
 
Back
Top Bottom