wanaondikia kushoto na adhabu za walimu

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,446
2,490
WanaJF hebu tujikumbushe wakati tunasoma shule za msingi walimu walikuwa wanawachapa sana wanfunzi wanaoandikia mkono wa kushoto kisa ni utovu wa nidhamu.Utafiti unaonyesha wengi wanaondikia mkono wa kushoto wa vipaji fulani vya muhimu na pia wana akili pia.Je ni kuwa walikuwa hawajui haya au ni umbumbu wao kuwa kuandikia mkono wa kushoto ni makosa? asilimia kubwa ya wazungu niwajuao na ninaoishi nao wanaandikia kushoto kwao wanaheshimika.Hebu tupeane michango.We unaonaje kuhusu hili??
 
Back
Top Bottom