Wanaomtetea Kikwete waorodheshe hapa mambo ya msingi aliyofanya mpaka sasa!

pasipo hata chembe ya unafiki JK ameongeza uhuru wa vyombo vya habari kuliko watangulizi wake.

MKAPA ALIKUWA NA MADUDU YAKE HAYAKUJULIKANA KWA SABABU ILIKUWA SHUGHULI UKIMWANDIKA VIBAYA.

TATIZO LA KIKWETE NI kule kutotaka kushughulikia kero za msingi (na kulalamika anachezewa rafu kidini na makundi ccm)na kuuacha umma ukihangaika kujua way foward jambo linalowapa wapinzani nguvu kubwa.LEO CDM wanaweza mchezea Rais watakavyo na wanajua namna ya kumweka kiti moto.
 
Wandugu,
Kumekuwa na malumbano kuhusu uwezo wa JK kuongoza nchi. Wengine wanamsifu na wengine wanajuta kuwa na rais wa aina yake. Mnaonaje tukiorodhesha hapa mambo ya msingi aliyofanya jk tangu alipochukua usukani wa kuongoza nchi yetu. Wenye kumbukumbu nzuri waorodheshe hapa. Yawe ni mambo ya msingi tu.

Anza na yale aliyotegeshewa kabla hajaingia madarakani. Km makosa yapo, mengi yatakuwa ni ya kutegeshewa. Chuki binafsi!
 
:twitch: Uhuru wa vyombo vya habari umedumishwa na watoa misaada kwa ombaomba Kikwete, ukitaka kupata misaada lazima ufuate masharti yao. Kwa hiyo hajadumisha Uhuru wa vyombo vya habari.

1. Mikataba feki
2. Rushwa imeongezeka
3. Ajira zimepungua kwa kasi
4. ufanisi wa umma umepungua kwenye serikali
5. Wizara 1 au 2 tu ndio inayotoa huduma kwa wananchi (Mambo ya Ndani, tena kwa ajili ya Passport) na Licence zilizobakia zote ni
zakifisadi kama yeye mwenyewe Kikwete
6. Mjeuri, Kiburi, Mjinga na Ana anguka hovyo kama mgonjwa wa kifafa
7. Chekacheka hovyo kama %^%&^*&%$
8. Mliliki wa Dowans
9. Ameifanya nchi yetu kuwa Maskini mara dufu
10. Wawekezaji wageni wanapewa kipaumbele kuliko wazawa
11. Mzawa hana haki ndani ya nchi yake kuliko mgeni
12. wengine mmalizie hapo maana njaa inaniuma ngoja nipike kidogo wanaJF:roll:
mkuu punguza jazba basi umeandika kwa hasila sana kiasi kwamba tunaona kama unachuki naye mkuu!
 
sijui nikuite zezeta? Aggghhh!!!!!!
Mbona hayo tumeshayajadili sana humu. Huna jipya, Acha uvivu na tumia sehemu ya muda wako kujikumbusha threads zilizopita, siokutaka msaada kwetu sisi wa kukukumba kwa sababu ya uvivu wako.
mkuu kweli inauma mtu kutuuuliza tumpendaye wakati ni kweli anajua amejenga chuo cha dodoma tuu tena kwa madeni kibao!
INAUMA SANA KWAKWELI!
 
Hajibu kama swali la mtihani, bila kuambiwa na mtu ama kusoma popote:

Mheshimiwa Rais wa awamu ya nne, amefanya yafuatayo,

MAMBO YA KITAIFA KWA UJUMLA
1. KADUMISHA UHURU WA TAIFA LETU TANZANIA
2. AMANI NCHINI TANZANIA,
3. MSHIKAMANO NCHINI PAMOJA NA TOFAUTI ZETU ZA KIDINI, MAKABILA NA HATA SIASA
4. MUUNGANO KATI YA TANZANIA BARA NA VISIWANI UMEZIDI KUIMARIKA
5. ANAENDESHA MCHAKATO WA MABADILIKO YA KATIBA KWA HAKI
6. UHUSIANO KATI YA NCHI TANZANIA NA MAJIRANI, HADI MATAIFA MENGI, MATAIFA MAKUBWA DUNIANI NI MZURI SANA KULIKO KIPINDI CHOCHOTE KILE

ELIMU
1. KIWANGO CHA ELIMU KINAZIDI KUKUA,
2. WANAFUNZI WENGI SASA WANAENDA SHULE KUANZIA CHEKECHEA HADI VYUO VIKUU.
3. MWAKA 2014 KUNA Ph.D 100 HIVI, MASTERS ZAIDI YA 3000
4. UJENZI WA SHULE ZA MSINGI HADI SEKONDARI HADI NGAZI YA KATA
5. UJENZI WA CHUO KIKUU KIKUBWA KULIKO VYOTE BARANI AFRIKA
6. TAASISI ZA ELIMU KAMA VILE BMT, TEA, ..NK ZIMEIMARIKA

MAENDELEO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA
1. TAFITI NYINGI ZIMEFANYIKA KUANZIA VYUO VIKUU HADI TAASISI ZA UTAFITI KAMA NIMRY
2. KILOMITA NYINGI ZA BARABARA ZIMEJENGWA MIJINI HADI VIJIJINI. MIKOA IMEFUNGUKA, KUSINI NA MAGHARIBI.
3. MIRADI MINGI YA KUZALISHA UMEME NA KUUSAMBAZA MIJINI NA VIJIJINI.
4. MIRADI MINGI YA MAJI IMEFANYIKA KILA MKOA
5. MIRADI YA UCHIMBAJI GESI NA BOMBA LA MAFUTA TOKA MTWARA HADI DAR NA LILE LA SONGOSONGO HADI DAR. YOTE NI KWA MATUMIZI YA VIWANDA, UZALISHAJI UMEME NA NISHATI MAJUMBANI
6. MAWASILIANO KUPITIA MKONGA WA TAIFA. LEO TUNAPIGA SIMU KWA KUJIUNGA DAKIKA BILA KIKOMO. HILI NI NENO LA KIBIASHARA LAKINI SIRI YAKE NI MAFANIKIO YA MKONGA WA TAIFA

HUDUMA ZA JAMII NA AFYA
1. MIRADI YA NYUMBA ZA BEI NAFUU INAENDELEA KUSHIKA KASI
2. HUDUMA ZA KIBENKI ZIMEIMARIKA NA WATANZANIA WAMEANZA KUKOPA BENKI KWA MAENDELEO YAO
3. TAIFA SASA LINA VITAMBULISHO VYA TAIFA VINAVYOENDELEA KUTOLEWA BURE KWA WATANZANIA
4. USAFIRI WA BARABARA UMEIMARIKA, ANGA UMEONGEZEKA NA MAJINI UNAENDELEA KUIMARIKA
 
1) Kuruhusu vichwamaji kumnanga.
2) Kuliondoa neno 'TREASON' kwenye misamiati ya serikali.
3) Kupambana na 'PERSONALITY CULT' kwa viwango vilivyovunja rekodi tangu 1961!
.
.

 
Kuamua kurudi kufundisha baada ya kumaliza urais. ..hahahah tezi dume haishi vioja
 
Back
Top Bottom