Elections 2015 Wanaomchafua Ben Saanane huu ndio wasifu wake

Alexandry Nemesi

JF-Expert Member
Jun 7, 2014
1,494
568
-Naona dalili za hofu na kupanic tu hata kabla hajachukua fomu makumi ya watu wameingiwa na hofu, wivu, hasira na chuki huku mamilioni ya Vijana tukiwa nyuma yake.

-Tutaendelea kumpigania na kumtetea dhidi ya wale wote wanaotaka kukiharibia chama chetu taswira yake kwa siasa chafu.

-Sio utamaduni wa CHADEMA na tunaomba kamanda Ben asiwajibu chochote atuachie watu hawa wapotoshaji tuwajibu kwa hoja.

1 Ben ni afisa wa idara ya sera na utafiti ya chama. Alikuwa afisa mwanzilishi wa maswala ya kanda makao makuu.

2-Ameshiriki katika vikao vya kiutendaji ndani ya sekretarieti na hata ndani ya kamati kuu.

-Ina maana anakijua chama kwa undani tofauti na uongo wa siasa chafu.

3-Kwa wadhifa wake ndani ya chama ndiye mshauri wa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni juu ya maswala yote ya kisera au sijui kama nimekosea.

4-Amewahi kuwa kiongozi kuanzia shele na vyuo. Alikuwa kiongozi wa Jumuiya ya watanzania katika chuo cha Allahabad-INDIA.

-Amewahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa kimataifa chuoni.

- Kipindi kilichopita nilisoma tamko lenye wasifu wake,

-Amekuwa afisa utawala na fedha katika kampuni ya Relliance, General Manager wa makampuni ya Alpha.

5-Hajawahi kutuhumiwa kutoa rushwa kwenye uchaguzi. Alienguliwa kwenye uchaguzi kwa sababu za kikanuni hasa kuunganisha nguvu na wagombea wengine.

6-Mara kadhaa amekuwa akipata misukosuko na jeshi la polisi na amekuwa na msimamo imara mara zote.

7-Kama isingekuwa anaaminika basi asingeruhusiwa kushiriki vikao vya sekretarieti na kamati kuu ya chama.

8-Anayemchafua Ben anatumiwa na baadhi ya wagombea kwa kuwa ukiwafuatilia atakuwa anamtusi Ben halafu wakati huo huo anamsifu mgombea mwingine.

9-Anayemchafua anahasira kutokana na alikuwa anawaonea huruma wasaliti waliofukuzwa na chama ambao Ben alichangia kwa kiwango kikubwa kuwafichua.

10-Nimesikia jina "MAHAWARA" Linatajwa kuna nini?

Mwisho nawaasa tupambane kwa hoja kwa ajili yaku na BAVICHA imara kwa manufaa ya Watanzania

Mimi Alexandry NEMESI

0766468851
 
Umeongea vizuri sana Mkuu, Chadema mapandikizi bado hajaisha yanatafuta kila mbinu ya kuwagombanisha Makamanda wapambanaji na uongozi wa chama lakini yanashindwa yanaishia kutoa matusi na kejeli zisizo na mpango wowote wa kumvunja moyo Ben Saanane

Kitu cha msingi ambacho naamini hata Ben mwenyewe anakijua, ni kwamba haya yote yalitarajiwa na kamwe hakuna mpambamo usio na mbinu za hapa na pale ktk nchi zetu hizi za kiafrika. Kiukweli Bwana Bensanane yuko mbele zaidi ya wagombea wote wanaopendekezwa na wale waliokwisha kuonyesha nia ya kugombea Uenyekiti BAVICHA jamaa yuko vizuri kuanzia Uwezo kielimu, kujieleza,upambambanaji na sifa nyingine kemkem zinazohitajika kwa Kuongozi si tu wa BAVICHA bali Chadema nzima kwa Ujumla

Niseme wazi ninatamani sana kuona Kamanda huyu akiuongoza umoja huu Imara hapa Tanzania kuluko umoja wowote ule wa chama chochote hapa nchini. Ninaamini chini ya huyu Jamaa BAVICHA itakua ni moja ya taasisi Imara na yakupigwa mfano si tu Tanzania bali Afrika nzima kwa ujumla, Heko sana Kamanda nakushauri jitokeze wazi uchukue form achana na ule utaratibu wa zamani ambao mimi binafsi naamini ni uoga wa kusubiri ujue ni nani aliyechukua form ya kugombea ndipo nawe uje uchukue form siku ya mwisho.

Chukua Mapema Rudisha Mapema ubaki unapiga hesabu zingine za uchaguzi....Hima Mkuu Ben Saanane

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
ben yupo smart sana hasa kichwani, ben amemzidi hata nape, namshauri achukuwe form na ogombee ukatibu ama uwenyekiti wa bavicha.
 
Mkuu umesahau kuweka kwenye wasifu wake kuwa yeye ndiye kijana mzalendo aliyethubutu kukomesha kiburi cha Zitto na masalia yake.

Ben Saanane ni msomi mzuri mwenye masters, ana hekima, mtu wa watu, mzalendo, mwenye maono, mtu makini, hana papara na zaidi hanunuliki etc

Long live Ben
VIVA BAVICHA.
 
very true indeed, jamaa yupo smart sana.
 
Umeongea vizuri sana Mkuu, Chadema mapandikizi bado hajaisha yanatafuta kila mbinu ya kuwagombanisha Makamanda wapambanaji na uongozi wa chama lakini yanashindwa yanaishia kutoa matusi na kejeli zisizo na mpango wowote wa kumvunja moyo Ben Saanane

Kitu cha msingi ambacho naamini hata Ben mwenyewe anakijua, ni kwamba haya yote yalitarajiwa na kamwe hakuna mpambamo usio na mbinu za hapa na pale ktk nchi zetu hizi za kiafrika. Kiukweli Bwana Bensanane yuko mbele zaidi ya wagombea wote wanaopendekezwa na wale waliokwisha kuonyesha nia ya kugombea Uenyekiti BAVICHA jamaa yuko vizuri kuanzia Uwezo kielimu, kujieleza,upambambanaji na sifa nyingine kemkem zinazohitajika kwa Kuongozi si tu wa BAVICHA bali Chadema nzima kwa Ujumla

Niseme wazi ninatamani sana kuona Kamanda huyu akiuongoza umoja huu Imara hapa Tanzania kuluko umoja wowote ule wa chama chochote hapa nchini. Ninaamini chini ya huyu Jamaa BAVICHA itakua ni moja ya taasisi Imara na yakupigwa mfano si tu Tanzania bali Afrika nzima kwa ujumla, Heko sana Kamanda nakushauri jitokeze wazi uchukue form achana na ule utaratibu wa zamani ambao mimi binafsi naamini ni uoga wa kusubiri ujue ni nani aliyechukua form ya kugombea ndipo nawe uje uchukue form siku ya mwisho.

Chukua Mapema Rudisha Mapema ubaki unapiga hesabu zingine za uchaguzi....Hima Mkuu Ben Saanane

BACK TANGANYIKA

nmeipenda hiyo mkuu!!!! ningewaza kujuwa offis zake zilipo ninge jitolea kumchukulia form.
 
Last edited by a moderator:
Hakika nje ya Jf simfahamu Ben Sanane, ila kupitia JF huyu jamaa uwezo wake ni mkubwa, hasa kwa hoja zake na uvumilivu wa kisiasa.

Nina imani Ben anaweza.

Mleta mada ungetuwekea na quote hata mbili tatu hivi zinazomchafua Ben ili kuisupport mada yako, otherwise, unamtafutia Ben ppopularity ambayo tayari anayo!! Labda kama hajiamini!!
 
nmeipenda hiyo mkuu!!!! ningewaza kujuwa offis zake zilipo ninge jitolea kumchukulia form.

Mia mia mkuu, Kuhusu office ngoja nim pm nikipata jibu nitakupm utimize ahadi yako kiukweli huwezi kujuta kumchukulia form huyu Jamaa naamini ni kutekeleza tu masuala ya Kidemokrasia ila jamaa alipaswa kuwa mwenyekiti bila hata ya Uchaguzi.

BACK TANGANYIKA
 
this is for comrade Ben!!!..

If your actions inspire others
to dream more, learn more, do
more and become more, you
are a leader.
 
Back
Top Bottom