The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,381
- 1,760
Maprogrammer nawezaje kutumia printf kwenye java mana kwenye vitabu wanaitumia sana ila kila nikijaribu inaniletea error,kuna nini kinachoweza kuleta error wakati code ipo vyema kwa kila kitu
Hiyo nimeiweka kimakosa tu,ila niliyoi-type kwenye comodo ipo sahihi,then iliyoirekebisha error inatokea kwenye
array.length............au jdk ninayotumia siyo
kwnn nikitumia hiyo printf na array.length inanikatalia...ni tatizo nimehangaika nalo mwezi sasa
System.out.printf("Welcome to java progrmming language\n%s!\n"getCourseName) ;
public class Sample
{
public Sample(){}
public static void main(String []args)
{
final int ARRAY_LENGTH=10;
int counter;
int array[]=new int[ARRAY_LENGTH];
for(counter=0; counter<array.length; counter++)
array[counter]=2+2*counter;
System.out.println("Index\t Value");
for(counter=0; counter<array.length; counter++)
System.out.println(counter +"\t"+array[counter]);
}
}
Output
Index Value
0 2
1 4
2 6
3 8
4 10
5 12
6 14
7 16
8 18
9 20
ondoa semicolons kwenye for loops
Duh! Bonge la giza, sijui nimepita huku kufanya nini.
Duh! Bonge la giza, sijui nimepita huku kufanya nini.