Wanaoipotezea sifa CCM ni hawa tu au kuna wengine?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
CCM inazidi kupoteza sifa zake kutokana na Viongozi na wanachama wake kutosema ukweli kuhusu ufisadi,ubinafsi na kujilimbikizia mali.
Wanaoipotezea sifa CCM ni hawa tu au kuna wengine?
Angalia Orodha hii na uiongezee:-
1.Yusuph Makamba
2. Kingunge N.Mwiru
3. Tambwe Hiza
4. Edward Lowassa
5. Rostam Aziz
6. Makongoro Mahanga
7. Hendry Chenge
8.
Endelea................................
 
hata jk yupo kwa hiyo list coz yeye kama mwenyekiti wa chama anastahili kuwawajibisha
 
1.mkulo
2.Chiligati
3. Manji
teh teh hivi manji ni mnachama wa CCM...teh teh nna hamu siku agombee ubunge nione kama anajua kujieleza kwenye mikutano ya kampeni au atakodisha kampuni ya kumpigia kampeni.aka ata outsource
 
teh teh hivi manji ni mnachama wa CCM...teh teh nna hamu siku agombee ubunge nione kama anajua kujieleza kwenye mikutano ya kampeni au atakodisha kampuni ya kumpigia kampeni.aka ata outsource
Ni mwanachama hai huyo. 2005 aliwania kiti cha ubunge Kigamboni akawashinda vibaya sana wenzake lakini "busara" zikatumika kumwengua ndio akapewa yule wa sasa anaitwa Mwintumu au mwantumu. Hakuna haja ya kujua kujieleza fedha yake itaongea kwa niaba.
 
CCM inazidi kupoteza sifa zake kutokana na Viongozi na wanachama wake kutosema ukweli kuhusu ufisadi,ubinafsi na kujilimbikizia mali.
Wanaoipotezea sifa CCM ni hawa tu au kuna wengine?
Angalia Orodha hii na uiongezee:-
1.Yusuph Makamba
2. Kingunge N.Mwiru
3. Tambwe Hiza
4. Edward Lowassa
5. Rostam Aziz
6. Makongoro Mahanga
7. Hendry Chenge
8.
Endelea................................

Nyerere's family too.
 
Wengine ni:
Adam Malima
Serukamba
Sophia Simba
Celina Kombani huyu anafanya ufisadi sana TAMISEMI na katibu mkuu wake
Nazir Karamagi
Joseph Mungai.
 
Ebwana ccm ndo hvyo tena ujue wanapoteza umaarufu na uaminifu,frm my mind i thnk serikali ya mseto inafata katika nchi yetu
 
Ebwana ccm ndo hvyo tena ujue wanapoteza umaarufu na uaminifu,frm my mind i thnk serikali ya mseto inafata katika nchi yetu

Wabadilishe kwanza CCM mawazo yao kuwa kushika nyadhifa za uongozi si zawadi na ulaji bali ni dhamana ya kutumikia wananchi. Wao akili zao na mawazo yao ni kuwa uongozi ni sehemu ya kumnufaisha mtu, sasa ukimpa mpinzani nafasi utamnufaisha wakati kuna wana CCM wengi wananjaa na wanazitaka hizo nafasi.

Tukibadilisha mawazo haya basi nchi yetu itapiga kasi ya ajabu kimaendeleo. Vinginevyo ile dhana ya ulaji na kujipendekeza kwa wateuzi ili upewe cheo ule badala ya kutumikia umma itaendelea kuwa mhimili wa utawala wa Tanzania, na kamwe hakuna atakayejishughulisha au kuona umuhimu wa kutumikia nchi bali ni kutumikia matumbo yao
 
Back
Top Bottom