Wanaoijua dar vizuri nisaidien kwa hili.

Ebana,kuna mtoto nimempata hapa chuo,ye kwao ni hapa hapa dsm,sa kanambia ka nataka kumbanjua bac nitafute sehemu ambayo iko nje kdogo ya mji,so wakuu mnaoijua dar vzr, ebu nipeni mwongozo,ni sehemu gani hapa dar ambayo iko chimbo zuri na gharama zake zisizidi buku 20 kwa usiku mmoja?over

Senetor uwe mwangalifu na hilo boom lako la mwisho mwisho maana maisha ya kitaa yanakungoja!
 
Huyo gashi inaonekana mpakiaji mkubwa kwahiyo anaogopa Guest za town utamuunguzia nega kama kamchanue KUOKOKA LAZIMA GUEST HOUSE.
 
Mkuu nakushauri kiutu uzima; achana na huyo demu anaweza akakuteka huko nje ya dar es salaam
2. boom ndo limetoka so lisikupe jeuri. kama hataki kunywea bia yenu bar na kwenda kulala maeneo ya mamaland achana naye. komaa na demu wako kama vipi nenda hapo sinza ambiance chukua wa buku 5 mkali osha bunduki rudi zako hostel. huyo anakuzingua kwa kua anaona umeoza juu yake. ukishalala naye utamuona si chochote. usipende hivi viumbe vikuendeshe. nenda kama atagaramikia kila kitu la sivyo komaa nae hata room tu
 
kila la heri lakini usije ukaanza kulia njaa njaa ukiishiwa. mpeleleke buguruni rozana
 
Senetor kua makini na bumu lako laki saba na 20 kwa miezi minne ni kidogo sana mie natumia zaidi ya laki 6 kwa mwezi kwa matumizi,kama unataka kupunguza nenda tandika kuna sehemu inaitwa gadaffi unaenda kaunta unachagua picha ya demu then unaelekezwa chumba unaenda kujisosomola kwa buku10 hadi 15 tu.
 
Hilo la kutoka nje ya mji/Jiji ndilo limekupeleka hapo chuo?????

Mbona mnachezea muda na Mali kwa vitu vya kupita na vidogo hivyo????

Nafasi ya Mungu kwenye maisha yako ya kila siku ipo wapi???
 
Ebana,kuna mtoto nimempata hapa chuo,ye kwao ni hapa hapa dsm,sa kanambia ka nataka kumbanjua bac nitafute sehemu ambayo iko nje kdogo ya mji,so wakuu mnaoijua dar vzr, ebu nipeni mwongozo,ni sehemu gani hapa dar ambayo iko chimbo zuri na gharama zake zisizidi buku 20 kwa usiku mmoja?over

Hizi lugha nyingine jamani
 
nendeni pale buguruni kwa mnyamani kuna guest moja inaitwa "Wakuja" ni shilingi 3000 tu. tena vitanda vyake vinatia hamasa kwa kwenda mbele! na zaidi rythm za hivyo vitanda zinafanya upate pozeo kutoka nyumba za jirani. yaani vile vibinti vya nyumba za jirani hupima shughuli yako kwa kelele za kitanda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom