Wanaohitaji laptops na desktops flat screen brand new na used

Ninyi si ndio wale ambao nasikia vitu vyenu ni vibovu & fake bora hata vya mchina?!! Si ndo ninyi Uhuru Computer, au sio ninyi????!!
 
Uhuru wanauza genuine only... Na wanakubalika.

Wewe sijui umewafananisha? Au ni competitors wako Kwani wanakubalika
Mnoooo..
 
Halafu huwajui, Unaskia watembeleee
Uwajue kabla ya kupiga kelele km debe tupu...
 
ni kama zingine tu haina tofauti sana,
processor duo core 2.2
memory 512MB
HDD 40 GB

karibu

Mhh hii ya 250000 c ndo ile niliyoikuta pale ofin kwenu mkaweka na bango
Lenye rangi nyekundu kwamba ni tsh 200000 au siyo nyinyi?
 
Bei hupanda na kushuka, bidhaa huja na kuisha.

Hizo unazosema ww hatuna. Tumemaliza.

Na nikweli unapajua.... Ila ile taa nyekundu imeungua swahiba.
 
Ninyi si ndio wale ambao nasikia vitu vyenu ni vibovu & fake bora hata vya mchina?!! Si ndo ninyi Uhuru Computer, au sio ninyi????!!

we ungekuwa unajibu hivo mahakamani lazima ungefungwa si chini ya miaka kumi.
1.unasema unaskia.
2.sisi tunatoa waranty ya mwaka,kama kitu kina tatizo ndani ya mwaka tunatengeneza wenyewe na ikishindikana tunakupa kingine
3.umepost kwa chuki mno
4.ungetusaidia sana kama ungetupa na ushahidi wa mtu alieuziwa bidhaa yetu akalalamika ili tumhudumie ipasavyo kama tunavyoahidi hapa mbele za umma.

...........karibu uhuru utuunge mkono watanzania wenzako,usikimbilie wazungu kwa sababu ya ngozi yao.
bidhaa zetu ni za uhakika na ni bora, na tunakubalika sana hapa nchini

tuna supply tenda/zabuni makampuni mbalimbali hatupata malalamiko mkuu.

karibu sana uhuru computers
 
Mhh hii ya 250000 c ndo ile niliyoikuta pale ofin kwenu mkaweka na bango
Lenye rangi nyekundu kwamba ni tsh 200000 au siyo nyinyi?

karibu mkuu ujipatie bidhaa bora kwa bei nafuu.

sisi hatufanyi biashara kwa ubabaishaji,hatuwezi kumwambia mteja hivi then tubadilishe lugha,hatujapata malalamiko kama hayo tangu tumeanza kazi hii miaka sita sasa. bei zikipanda huwa tunatangaza mapema kuondoa usumbufu kwa wateja wetu.
 
Inauma Kachemka amedhani unaulizia adaptor ya HP Ndio 35,000/-

Battery hazipo za G72 hatuna kwa sasa.
 
resize

Dell Inspiron 17R Laptop Computer-...



 
UHURU COMPUTERS
Established June 2007 in Northampton UK. We Import Directly from U.S.A, UK and Japan.
Dell Registered Resellers from July 2010 in Tanzania. All new Laptops Have 1 year International Warranty.
Uhuru Computers is Authorised Distributor of Adata Products in Tanzania.
Tupo Kariakoo mtaa wa Uhuru na Congo Street Dar es Salaam, Simu: 0222184447,
Mobile: +255655524444/+255652444418/

Email: Uhurucomputers@hotmail.com

This week offers:
1. ADATA USB FLASH DRIVE 4GB @ 12,500/= WITH 2 YEARS WARRANTY
2. ADATA USB FLASH DRIVE 4GB @ 15,000/= WITH 2 YEARS WARRANTY

3. ADATA EXTERNAL HARDDRIVE 500GB 3.0 USB SPEED SHOCKPROOF AND WATER RESISTANT, Model SH 14. @160,000/= FREE DELIVERY IN TANZANIA
Uhuru Computers is Authorised Distributor of Adata Products in Tanzania.

LAPTOPS BRAND NEW WITH 1 YEAR INTERNATIONAL WARRANTY
ACER MINI 5030 1.6 DUOCORE 2GB DDR3 320GB WEBCAMERA WIFI BLUETOOTH DVD/RW DOS485,000/=
DELL MINI 1.6 DUOCORE 2GB DDR3 250GB WEBCAMERA WIFI BLUETOOTH DVD/RW DOS495,000/=
HP 635 1.6 DUOCORE 2GB DDR3 320GB WEBCAMERA WIFI BLUETOOTH DVD/RW DOS645,000=
HP PAVILION 2000 2.13 DUOCORE 3GB DDR3 320GB WEBCAMERA WIFI BLUETOOTH DVD/RW WINDOW7 765,000/=
ACER ASPIRE 5349 1.6 DUOCORE 2GB DDR3 320GB WEBCAMERA WIFI BLUETOOTH DVD/RW DOS650,000/=
TOSHIBA C660-SPK2 2.13 DUOCRE 2GB DDR3 320GB WEBCAMERA WIFI BLUETOOTH DVD/RW DOS680,000/=
ASUS X44L -BBK2 1.6 DUOCORE 4GB DDR3 320GB WEBCAMERA WIFI BLUETOOTH DVD/RW DOS660,000/=
USED LAPTOPS WITH 3 MONTHS WARRANTY
TOSHIBA SATTELITE J60 1.8 GHZ, 1GB RAM ,40GB Harddrive Price 250,000/=
Dell Latitude D610 1.8 GHZ 1GB RAM,60GB HDD PRICE 320,000/=
DELL Latitude D620 2.0 Duocore 2GB 80GB 380,000/=

ABSOLUTELY FREE DELIVERY IN DAR ES SALAAM,PWANI,MWANZA, and DODOMA and Moshi Only.ALIEKO ARUSHA ATAPOKELEA MZIGO/HUDUMA YETU MOSHI.MIKOA MINGINE KWA MZIGO MKUBWA/JUMLA TUNAKUSAFIRISHIA KWA GHARAMA ZETU.


feel free kututembelea ujionee huduma zetu
tunapokea tender ku supply huduma zetu maofisini na kumfikishia mteja alipo katika mikoa iliyotajwa hapo juu

karibuni wote

0655524444
0765260673
Hapo number 1 & 2 ipi tofauti yake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom