Wanaohama kwenye vyama wapokelewe kwa tahadhari

first i should declare my interest" mimi sio member wa chadema" ila ninatamani changes katika nchi yangu. sasa kinachoendelea ndani ya cdm kinasikitisha na kinapelekea ku loose interest yao ya kupinga ufisadi. nimekuwa na bahati ya kuwa karibu na baadhi ya viongozi wa chadema na hawa wanaccm waliojiunga na tunaowatarajia kujiunga na cdm wanaweza kupoteza nguvu ya cdm.
viongozi wa cdm watanielewa namaanisha nini ninaposema hivi maana hakuna mchujo kwa watu wanaoingia ndani ya chama chenu and u are expecting them to serve the interest of cdm? here is where many of opposition wanapokosea kwasababu hii ina faida kuonesha mvuto wenu kwa jamii umeongezeka ila hawa watu watakiaribu chama chenu.

Ni nani kakutuma?mambo haya yalishatolewa ufafanuzi.
 
[h=3][/h]

1441.jpg
570400100.jpg


Ingawa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa kikijisifu na kusema kuwa kinaweza kumpokea yeyote atakayehama Chama Cha Mapinduzi (CCM), msimamo huu utakibomoa na kukiangamiza kama hakitabadilika. Hii itakifanya kuwa sawa na kokoro au msafara wa mamba ambao haukosi kenge. Hivi karibuni mbunge wa Maswa John Shibuda (CHADEMA) aliibukia kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM akikipigia debe huku akiwaponda wapinzani kikiwemo chama chake. Kimsingi Shibuda ametoa somo kwa CHADEMA kuwa siyo kila asemaye Bwana Bwana atauona ufalme wa Mungu. Wengine ni nyemelezi na mapandikizi kama alivyothibitisha Shibuda ukiachia mbali wengine kama Augustine Mrema, James Mbatia, John Cheyo na wengine wengi. Hivyo CHADEMA, kama itaendekeza tamaa ya kupata wanachama wengi, itaishia kujipaka kinyesi. Na Shibuda si wa kwanza wala wa mwisho. Hata mfanyabiashara wa kihindi mwenye utata Jaffar Sabodo ambaye ameonyesha mapenzi ya ajabu kwa CHADEMA kwa kukimwagia pesa ambayo haulali na uharamu wake ni sawa, anapaswa kuangaliwa kwa jicho la tahadhari.
 
Shibuda ni special case, aliingia Cdm kipindi cha uchaguzi. Ajaye leo hatapata nafasi ya kutusumbua kama Shibuda.
 
Chadema inabidi kuanza kufanya screen kwa wanachama wanaotaka kupata uongozi wakiwa wanatokea CCM, na vyama vingine ili kuondoa mapandikizi kama Shibuda alivyo
 
muda mfupi tu baada ya shibuda kuingia cdm ameleta mabishano makubwa sn na viongozi ndan ya chama,nahofu ni miongon mwa wanaotumika kuua upinzan hivyo chadema tazamen siyo kila anayejivua gamba avae gwanda,naskia edw.... low.... Nae aweza jiunga kwa iyo ni sawa na kuhamisha ufisad toka gamban kwenda gwandan,nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom