Wanaohama kwenye vyama wapokelewe kwa tahadhari

Kutokana na wimbi la uhamiaji wa makada wa zamani wa CCM ndani ya CHADEMA,chama hicho kikuu cha upinzani nchini hakiko salama.Kuna kila uwezekano kuwa wahamiaji hao,akiwemo Millya wa Arusha,wako kwa maslahi ya CCM.Nimedokezwa na wachambuzi wa mambo kuwa uhamiaji huo una lengo la kukidhoofisha chama cha CHADEMA. 'Wametumwa kupeleleza siri ya nguvu ya CHADEMA,wakimaliza kazi yao watarudi CCM' 'Nani hajui kuwa Millya ni mfuasi nambari moja wa Lowassa? kimeeleza na kuuliza chanzo kimoja toka chama tawala.

Uongozi wa CHADEMA na uwe macho na makini na wahamiaji hawa.Kamanda Mbowe na timu yako na mnisikie...
Hizi ni hisia tu ambazo hazina uthibitisho wowote wa kisayansi. Karibuni wana wapotevu Chadema ila huku uzalendo kwanza. Kanuni na taratibu za CDM ndizo zitakazo waongoza.
 
My Take
Kama hayo yakitokea na kwa kwa kweli yanaonekana yakitimia kwa kasi kubwa, tuhuma za ufisadi zilizokuwa zikiielemea CCM sasa zitahamia CDM na CCM kubaki na ushindi wa Mkakati wa kujivua gamba hivyo kuwa chama chenye watu safi.

Tusubiri tuone.
Tutajie ufisadi wa walio hamia Chadema...
 
Si kweli Mkuu, CDM Imara tu na itabaki kuwa imara, hivi mwanachama mmoja ambaye si kiongozi wa aina yoyote anawezaje kuwa tishio? Nguvu ya Chadema iko kwa wananchi( wanachama) kama wanataka kupeleleza wawapelelezi wananchi, CDM Hakuna khanga, Mashati ya kijani wala kofia na scarf za bure.
 
Chademaa ni chama makini sana, hata kabla makada wa CCM hawajaamia CDM wapo wasaliti wengi ndani yetu na wapelelezi wengi wanaotuchunguza kwa nia ya kutuharibia ila tunawajua na tunaenda nao sawa.
Acha uoga, kila mapinduzi yanaambatana na usaliti, tumejiandaa vema sana.
Usihofu kijana, waambie hao wachambuzi waache uoga.
 
Kutokana na wimbi la uhamiaji wa makada wa zamani wa CCM ndani ya CHADEMA,chama hicho kikuu cha upinzani nchini hakiko salama.Kuna kila uwezekano kuwa wahamiaji hao,akiwemo Millya wa Arusha,wako kwa maslahi ya CCM.Nimedokezwa na wachambuzi wa mambo kuwa uhamiaji huo una lengo la kukidhoofisha chama cha CHADEMA. 'Wametumwa kupeleleza siri ya nguvu ya CHADEMA,wakimaliza kazi yao watarudi CCM' 'Nani hajui kuwa Millya ni mfuasi nambari moja wa Lowassa? kimeeleza na kuuliza chanzo kimoja toka chama tawala.

Uongozi wa CHADEMA na uwe macho na makini na wahamiaji hawa.Kamanda Mbowe na timu yako na mnisikie...

Porojo zako peleka Facebook
 
Nguvu ya Chadema ipo kwa wananchi.
Kama kuna alye2mwa basi amechemka. Hatapata nafasi.
 
Kweli,cha muhimu ni KUFUATA kanuni za CHADEMA,lakini under DR.WILLBROD SLAA wamechemka mapema mno watastukiwa,wamuulize Shibuda ambaye anabye time kidogo waachane naye. MUHIMU NI MBOWE,ARFI,DR.SLAA,ZITTO NA NAMAKAMANDA WA UKWELI WAPOKEENI MAANA NI HAKI YAO KUJIUNGA CHADEMA,LAKINI KUWENI MAKINI HASA WASIJE WAKAWAKUTA VIJANA HALISI WA CHADEMA AFU MKAANZA KUWAPUUZA,HAPO ITAKUWA NI MBAYA SANA.WAJE LAKINI WAHESHIMU CHAMA NA MUWAANGALIE MIENENDO YAO MAANA WANAMARAFIKI MAFISADI WATOKAKO NA HATA WAO WANA ELEMENT HIZO MSIPOWAZIBITI. WATAWEZA KUSEMA KWELI "SISI TUNA MUNGU WAO WANA PESA" AU NDO WANATAKA KUGEUZA KAULI WAKIJA CHADEMA. WACHUNGUZWE KWA MAKINI SANA.
 
Chademaa ni chama makini sana, hata kabla makada wa CCM hawajaamia CDM wapo wasaliti wengi ndani yetu na wapelelezi wengi wanaotuchunguza kwa nia ya kutuharibia ila tunawajua na tunaenda nao sawa.
Acha uoga, kila mapinduzi yanaambatana na usaliti, tumejiandaa vema sana.
Usihofu kijana, waambie hao wachambuzi waache uoga.

Lakini unatakiwa kuelewa kuwa wote walioko CHADEMA walikuwa CCM PIA kasoro wachache tuu.
 
Kutokana na wimbi la uhamiaji wa makada wa zamani wa CCM ndani ya CHADEMA,chama hicho kikuu cha upinzani nchini hakiko salama.Kuna kila uwezekano kuwa wahamiaji hao,akiwemo Millya wa Arusha,wako kwa maslahi ya CCM.Nimedokezwa na wachambuzi wa mambo kuwa uhamiaji huo una lengo la kukidhoofisha chama cha CHADEMA. 'Wametumwa kupeleleza siri ya nguvu ya CHADEMA,wakimaliza kazi yao watarudi CCM' 'Nani hajui kuwa Millya ni mfuasi nambari moja wa Lowassa? kimeeleza na kuuliza chanzo kimoja toka chama tawala.

Uongozi wa CHADEMA na uwe macho na makini na wahamiaji hawa.Kamanda Mbowe na timu yako na mnisikie...

Siri ya nguvu ya Chadema ni UMMA wala hakuna haja ya Kufanya utafiti...........siri nyingine ya Nguvu ya CDM ni ufisadi wa CCM ambapo kila mwananchi anajua kwa sasa.
 
Hizi ni hisia tu ambazo hazina uthibitisho wowote wa kisayansi. Karibuni wana wapotevu Chadema ila huku uzalendo kwanza. Kanuni na taratibu za CDM ndizo zitakazo waongoza.

nadhani hata wewe unahisi
 
chama sio mtu, cdm nadhani kina mfumo wa utawala, hata marando alipotua walisema sana, lakini chama kama kina utaratibu, hata Riz 1 anaweza jiunga tu na chama na asilete matatizo yeyote
 
Ndugu yangu nafikiri is too early to judge, let us be patient and pray to God to Pass away this because is bad for Tanzaniana BUT WHAT I KNO CDM IS VERY MAKINI BEYOND YOU THINK. I believe there is something good for tanzanians going on and soon will be revealed.
GOD BLESS CHADEMA GOD BLESS TANZANIA
 
Avatar yako siyo salama kabisa.

hata kusoma ulichoandika nimeacha.

Kutokana na wimbi la uhamiaji wa makada wa zamani wa CCM ndani ya CHADEMA,chama hicho kikuu cha upinzani nchini hakiko salama.Kuna kila uwezekano kuwa wahamiaji hao,akiwemo Millya wa Arusha,wako kwa maslahi ya CCM.Nimedokezwa na wachambuzi wa mambo kuwa uhamiaji huo una lengo la kukidhoofisha chama cha CHADEMA. 'Wametumwa kupeleleza siri ya nguvu ya CHADEMA,wakimaliza kazi yao watarudi CCM' 'Nani hajui kuwa Millya ni mfuasi nambari moja wa Lowassa? kimeeleza na kuuliza chanzo kimoja toka chama tawala.

Uongozi wa CHADEMA na uwe macho na makini na wahamiaji hawa.Kamanda Mbowe na timu yako na mnisikie...
 
Naomba mkumbuke Maadui wa CDM ni wengi sana hivyo hao wanaokuja chama kiwe makini sana kuwapokea. Wanawea kuja na ***** wao!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom