Wanaohama CCM ni 'Oil Chafu' - Nape

Nape leo E.Afrika Radio amekaririwa akiwaita watu wanaohama Ccm ni sawa na oil chafu kwani unapoendesha taasisi kubwa kama ccm ni sawa na Gari ambapo hufika mahali huitaji kusafishwa kwa kumwaga oil chafu na kuweka nyingine mpya
mytake
kama ni hivyo mbona ccm haitafuti wanachama wapya(oil mpya) badala yake hata oil chafu inaisha(wanachawa wa zamani) je gari litatembea kweli au ndio kufa tu?

Du! Kweli CCM kuna wanaojua matusi. Yale ya Wassira, Mchemba, Livingtsone, na wengine wengi kwa wapinzani hayakutosha, sasa mmeamua kutukana wanachama wenu? Nape keep it up. oil chafu? Itakukost. Tusubiri
 
Hivi hichi cheo hasa kwa ccm ni lazima muhusika uwe mropokaji?
Nape is barking at the flying birds.
 
:msela:Inawezekana pia ni oil saaaaaaaaaafi ila inahamia kwenye kopo safi baada ya aliyebadili na kufunga gari kusahau gasketi:peace:
 
Lakini jamani, hivi mnategemea Nape aseme kitu tofauti na Itikadi yake?? Mi nadhani aachwe tu aongee, JOB DESCRIPTION yake ina hicho kipengele cha kuongea vitu sampuli hii. Afanyeje sasa????? Hata yeye anatamani angekuwa anakula kiyoyozi cha M4C lakini ndo hivo tena, kashaolewa, SHARTI ALALE BILA.......
 
nape leo e.afrika radio amekaririwa akiwaita watu wanaohama ccm ni sawa na oil chafu kwani unapoendesha taasisi kubwa kama ccm ni sawa na gari ambapo hufika mahali huitaji kusafishwa kwa kumwaga oil chafu na kuweka nyingine mpya
mytake
kama ni hivyo mbona ccm haitafuti wanachama wapya(oil mpya) badala yake hata oil chafu inaisha(wanachawa wa zamani) je gari litatembea kweli au ndio kufa tu?

haya ni maneno tu yatapita yasiwasumbue
 
siku zote kumbuka ukiwa kiongozi akihama mtu hata mmoja mtafute na uhojiane naye ni kipi
kinamtoa.sasa wewe unasema endeleeni kuhama ni oil chafu
 
jamani tuwe wa kweli katika hili, kwa mtizamo wangu wapo wanaohama chama kwa hoja za msingi kabisa amazo hata katika jamii ya watanzania wanaoipenda nchi yao wanalidhia kutokana na uonevu na ubabe unaokua umefanywa na baadhi vya viongozi wanaosikilizwa kwenye chama wenye tabia ya kufanya maamuzi kwa maslahi yao binafsi bila kujali maslahi ya chama chenyewe, kwa mfano mwanacha tangu mwanzo anachukua fomu ya kugombea ubunge au uspika na anashiriki mpaka kwenye mchakato wa kugombea na mungu anamjalia anashinda lakini wababe fulani kwasababu binafsi wanaamua kumnyima ushindi, huu ni uhuni na ubabe na ubinafsi usio vumilika kabisa.Mfano mzuri ni Dr.Slaa
 
Nape leo E.Afrika Radio amekaririwa akiwaita watu wanaohama Ccm ni sawa na oil chafu kwani unapoendesha taasisi kubwa kama ccm ni sawa na Gari ambapo hufika mahali huitaji kusafishwa kwa kumwaga oil chafu na kuweka nyingine mpya
mytake
kama ni hivyo mbona ccm haitafuti wanachama wapya(oil mpya) badala yake hata oil chafu inaisha(wanachawa wa zamani) je gari litatembea kweli au ndio kufa tu?

Kuda da de ki nahpe mbona kumbe gari ilishanoki siku nyingi abiria mliobaki tafadhali shukeni wote gari inaenda kupaki garage mpaka oil ipatikane
 
Kizazi hiki, ndugu NAPE kinahoji vitu na wakati huohuo upashanaji habari unakwenda kwa kasi sana. Unahitaji kuwa mwanasiasa uliyeiva na mwenye uwezo wa kujenga hoja imara kwa masilahi ya chama chako. Unahitaji hekima na busara katika kulinda chama chako na hasa ccm ambacho kinakosa mvuto kwa watanzania. Ukweli ni kwamba kauli zako nyingi zinakibomoa chama badala ya kukijenga. Hoja zako nyingi ni nyepesi kujibika na hivyo kuwapa wapinzani hasa cdm fursa ya kuaminiwa na kukubalika haraha sana katika jamii. Matumaini yangu ni kwamba utagundua madhara ya kauli zako kwa kuchelewa na utakuwa katika kumbukumbu za kukisambaratisha chama cha mapinduzi. Kazi ni kwako mkuu!
 
Nape na Shibuda wote wanafanana , waropokaji wahajui kesho wataamkia wapi.

fani ya mipasho inalandana nao sana
 
Maneno aliyoyasema Mh Nape ni kweli nadhani Chadema wanauona mfano hai Shibuda anavyowaumiza vichwa na hapo bado hao watu mnaowapokea kwa mbwembwe kama mlivyompokea Shibuda watawatesa mpaka kuwaua kisiasa ,kwa sasa CCM inajipanga kiuongozi mambo yakikamilika CDM mtakiona hiyo mikadi mnayogawa hovyo bila ata ya mtu kuiomba hizo kadi zitarudishwa vibaya mno kwenye mikutano ya CCM ya Operation vua gwanda vaa Uzalendo hii mikutano wanayofanya sasa CDM itafunikwa vibaya mno mnaona CCM kama wamelala wenyewe mnawaona wajinga ha ha ha ha ha!
 
Kizazi hiki, ndugu NAPE kinahoji vitu na wakati huohuo upashanaji habari unakwenda kwa kasi sana. Unahitaji kuwa mwanasiasa uliyeiva na mwenye uwezo wa kujenga hoja imara kwa masilahi ya chama chako. Unahitaji hekima na busara katika kulinda chama chako na hasa ccm ambacho kinakosa mvuto kwa watanzania. Ukweli ni kwamba kauli zako nyingi zinakibomoa chama badala ya kukijenga. Hoja zako nyingi ni nyepesi kujibika na hivyo kuwapa wapinzani hasa cdm fursa ya kuaminiwa na kukubalika haraha sana katika jamii. Matumaini yangu ni kwamba utagundua madhara ya kauli zako kwa kuchelewa na utakuwa katika kumbukumbu za kukisambaratisha chama cha mapinduzi. Kazi ni kwako mkuu!

Waambie wabunge wako wa CDM wasema ahadi walizotimiza majimboni mwao katika yale waliyohaidi kwenye kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010,vinginevyo watakiona cha mtema kuni uchaguzi ujao 2015,wabunge wa CDM ni waropokaji wazuri lakini si watendaji majimbo yao yanatia huruma kila kitu kimedorora,CDM wanafikiri watu wanavyowafuata mikutanoni wanawapenda kumbe wanaenda kuwashangaa hawa ni viumbe gani waliokosa busara na kuropoka hovyo hovyo kwa kila jambo ata likiwa zuri mwisho wa siku kuwanyima kura!
 
Pengine wewe ndo NAPE. Nimetoa angalizo na sijataja uanachama wangu. Pole sana.
 
Nadhani nikwavile ni mvivu tu wa kufikiri ila walobaki ndo oil chafu, akae afikiri kwa kina na abadili usemi wake
 
akihutumia makumi ya magamba yaliyokutana pale CHADEMA square Nape alisikika akisema wote wanaohama CCM ni sawa na oil chafu.
CCM haiitaji oil chafu kuendelea na safari bali wao wanaibua vitu vipya kwa maana ya oil safi na kuendelea na safari..
je ni kweli CDM tunachukua oil chafu ya Magamba?
 
ukitoka kwa sheitwan na kurudi kwa Mungu hata ukiitwa kinyesi poa tu. Haf si ndo huyu anashikishaga watu ukuta? CCM kweli laana kum
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom