Wanaohama CCM ni 'Oil Chafu' - Nape

Siku NAPE atakapogeuka kuwa oil chafu sidhani kama atakuwa hata na thamani ya kwenda kutumika kupaka mbao kwa minajili ya kuzuia zisibunguliwe! Yaani atakuwa wa kutupwa!! Natamani niishi kuona siku za anguko lake! Very soon laja!
 
  • Thanks
Reactions: ral
Sasa ukisema hivyo Kina Mkulo, Maige na Ngeleja wamebaki CCM na ni Mafisadi wao kama sio OIL CHAFU ni kitu gani?

Saa Nyingine unakuja na Vichwa vya habari haviendani na UCCM wa enzi za JK Nyerere wenye Hekima; vitu vyako vingi

Ni Majibizano ya Kitoto hayana hekima hata kidogo na upeo
 
004.jpg

CCM wenyewe wameshika mashoka kuipomoa CCM yao, sisi wapita njia tunapita na kuangalia yanayojia, tumeona tuwaachie wenyewe kwani vita vya kifamilia si vema kuviingilia.
 
Sasa ukisema hivyo Kina Mkulo, Maige na Ngeleja wamebaki CCM na ni Mafisadi wao kama sio OIL CHAFU ni kitu gani?

Saa Nyingine unakuja na Vichwa vya habari haviendani na UCCM wa enzi za JK Nyerere wenye Hekima; vitu vyako vingi

Ni Majibizano ya Kitoto hayana hekima hata kidogo na upeo

Nape ile kashfa ya kutokuwa mwanachama wa CCM iliyoletwa hapa juzi hajaleta vithibitisho? Kwanza athibitishe hapa kama ni mwanachama hai na halali kwani imeelezwa hata kodi ya uanachama halipi kwa vile hana kadi ya CCM.
 
toka nimemjua Nape hakuna siku nimewahi kumuelewa kitu anachoongea....yaani yey ni mipasho mwanzo mwisho..why wasimpleke TOT PLUS akaimarishe safu ya waimba taarabu?
 
bado pia aseme zile milioni 100 alizopewa na mwenyekiti wa makampuni fulani afanyie kampeni za ubunge kule ubungo nazo azitolee maelezo...
 
bado pia aseme zile milioni 100 alizopewa na mwenyekiti wa makampuni fulani afanyie kampeni za ubunge kule ubungo nazo azitolee maelezo...

Ukichokonoa na yaho atapata ugonjwa wa moyo, maana hali inavyokwenda njia inazidi kuwa nyembamba kwa Nape. Ataweza kupenda tundu la sindano?
 
Hivi huyu nepi... Ooops!... Nape kwa nini hua hawezi kunyamaza?
 
toka nimemjua Nape hakuna siku nimewahi kumuelewa kitu anachoongea....yaani yey ni mipasho mwanzo mwisho..why wasimpleke TOT PLUS akaimarishe safu ya waimba taarabu?

akamsaidie Hadija Kopa maana amebaki peke yake!
 
Nape anaposema hata watu wakikihama ccm atabaki peke yake na chama hakitakufa, Kwani hakujua ili kiitwe chama kinahitaji watu wangapi? anamatatizo ya akili huyu. Lakini mtu wa aina hii yakina shibuda si wakumjadili hapa.

Alisema "hata wakihama wote atabaki mwenyewe na chama hakitakufa". Huu ni uchizi, sina iman na uwezo wa Nape wa kufikiri hata kidogo!!! Mbona hazungumzi juu ya wanachama wanaohamia(oil mpya)?? Maige kamwambia kuwa yeye ni gamba namba moja. Gamba halijtambua kuwa lenyewe ni gamba!! Kauli kuwa atabaki mwenyewe na ccm haitakufa ni sawa na kusema yeye ni kila kitu pale ccm...!
 
Anaonyesha jinsi magamba walivyoishiwa na watu wenye busara ,kauli nyingine hazina mashiko
 
Poor Nape! Kila mfano anaoutumia una kasoro kubwa.
Oil chafu: Maanake ni kuwa hata yeye soon atakuwa oil chafu maana hakuna oil ya kudumu ndanio ya injini. Kinachotokea ni kuwa, oil ya kwanza kuingia kwneye injini inachafuka kwanza na kuondoka na iliyoingia baadaye itafuata ( first in, first out). Kwa hiyo, soon, Nape ataisha kama oil na kuondoka ili oil mpya iweze kuwekwa. Very poor illustration!

-Au wanachama wanaohama kutoka vyama vingine kwenda CCM, kama ni oil chafu, basi CCM inapokea oil chafu pia. Orodha yao ni ndefu ikiongozwa na Steven Wassira. Ohh kumbe Wassira ni Oil chafu ndani ya CCM! Huyu kijana, reasoning yake ni ndogo sana. Ningeshauri acheze mbali na keyboard ya JF au aache kuongea na wana habari. Kuna siku atamtukana Kikwete.
CCM hahitaji mtu makini katika nafasi ya uongozi inhitaji msanii,kwani JK,Nape na viongozi wengi katika serikali na CCM ni wanasesele sio wanaoongoza nchi,wanaoongoza nchi ni mafisadi papa-ingawa hata hao viongozi ni mafisadi-Wanaongozwa na Mafisadi Papa kwa remote control.Na moja ya fifa ya kiongozi atakae ongozwa kwa remote control lazima awe mbumbu na si makini kwani jukumu lake si kuongoza bali kupokea maelekezo toka kwa mwajiri wake yaani Mafisadi Papa kwa kifupi viongozi hawa ni mavuvuzela.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Nape leo E.Afrika Radio amekaririwa akiwaita watu wanaohama Ccm ni sawa na oil chafu kwani unapoendesha taasisi kubwa kama ccm ni sawa na Gari ambapo hufika mahali huitaji kusafishwa kwa kumwaga oil chafu na kuweka nyingine mpya
mytake
kama ni hivyo mbona ccm haitafuti wanachama wapya(oil mpya) badala yake hata oil chafu inaisha(wanachawa wa zamani) je gari litatembea kweli au ndio kufa tu?

Nape atabadili sana misemo na haitasaidia chochote
 
Poor Nape! Kila mfano anaoutumia una kasoro kubwa.
Oil chafu:
Maanake ni kuwa hata yeye soon atakuwa oil chafu maana hakuna oil ya kudumu ndanio ya injini. Kinachotokea ni kuwa, oil ya kwanza kuingia kwneye injini inachafuka kwanza na kuondoka na iliyoingia baadaye itafuata ( first in, first out). Kwa hiyo, soon, Nape ataisha kama oil na kuondoka ili oil mpya iweze kuwekwa. Very poor illustration!

-Au wanachama wanaohama kutoka vyama vingine kwenda CCM, kama ni oil chafu, basi CCM inapokea oil chafu pia. Orodha yao ni ndefu ikiongozwa na Steven Wassira. Ohh kumbe Wassira ni Oil chafu ndani ya CCM! Huyu kijana, reasoning yake ni ndogo sana. Ningeshauri acheze mbali na keyboard ya JF au aache kuongea na wana habari. Kuna siku atamtukana Kikwete.

Poor illustration indeed. I would have considered party members as being the essential parts constituting the very engine of the party but Nape would see them as mere replaceable engine oil? What would his party engine be made of then? Yet the same guy is taken as the (CCM) think-tank? R.I.P. CCM, no doubt about that!
Well said Bolobi.
 
Nape leo E.Afrika Radio amekaririwa akiwaita watu wanaohama Ccm ni sawa na oil chafu kwani unapoendesha taasisi kubwa kama ccm ni sawa na Gari ambapo hufika mahali huitaji kusafishwa kwa kumwaga oil chafu na kuweka nyingine mpya
mytake
kama ni hivyo mbona ccm haitafuti wanachama wapya(oil mpya) badala yake hata oil chafu inaisha(wanachawa wa zamani) je gari litatembea kweli au ndio kufa tu?
Kama CCM NI GARI basi ni jafongo yale yaloikuwa yakibeba mkaa pale Mwananyamala,yule mwenye yale Magari hakujua kuweka oil mpya yeye alikuwa akiendesha bila hata kuangalia Deep stick at the end Yakaanza kufa moja moja mpaka yamepote Vivyo ndivyo CCM ya JK,NAPE NA MUKAMA endeleeni kubangaiza mpaka tupate oil safisafi tutafika tu.wenye akili wanajua Nape kaja CCM kufanya nini?
Wasimamie hao waishiwe NAPE .PEOPLES POWER IS KILLING CCM INDERECT THROUGH.
 
Kazi ya uenezi wa siasa zina changamoto nyingi sana. Nape amebaki kueneza pumba badala ya sera ya chama chake!
Poor Nape,
Poor CCM,
Poor Jk,
 
Nape leo E.Afrika Radio amekaririwa akiwaita watu wanaohama Ccm ni sawa na oil chafu kwani unapoendesha taasisi kubwa kama ccm ni sawa na Gari ambapo hufika mahali huitaji kusafishwa kwa kumwaga oil chafu na kuweka nyingine mpya
mytake
kama ni hivyo mbona ccm haitafuti wanachama wapya(oil mpya) badala yake hata oil chafu inaisha(wanachawa wa zamani) je gari litatembea kweli au ndio kufa tu?

Uzuri wenyewe hata oil chafu inayayusha gamba na kuua nyoka (CCM), Inabaki minyama tu. Jaribu kama unabisha. It is a chemical weapon against CCM.
 
Nape anajitahd kuua ccm bila yeye kujua! Mifano mingn irrelevant kabisa, kama wanaovua gamba ni oil chafu, oil safi iko wapi? "Na ukiona m2 kaacha kula kwa muda mrefu(zaid ya siku 5) na bado anaenda msalani ujue kifo"
 
mbona miaka ya nyuma wakati wafuasi waliotoka upinzani na kuhamia ccm walikua hawaitwi oil chafu... na yeye kama katibu wa itikadi na uenezi hana hata aibu kuona wanapoteza wanachama wengi kuliko na vile wanavyowapata wapya??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom