Wanaogopa nini?

Vawulence

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
1,928
2,101
Katika pitapita zangu nimekutana na matokeo ya kidato cha nne.Ukweli ni kwamba watoto wetu wamefeli sana.Je wizara wameweka matokeo haya kimya kimya kuepusha aibu ya shule za kata?
 
Naona wameyatangaza TBC 1 kwenye dira ya mchana. Ila huyo demu aliyekuwa anasoma hiyo taarifa ka facial expression yake ina uchachu!
 
Katika pitapita zangu nimekutana na matokeo ya kidato cha nne.Ukweli ni kwamba watoto wetu wamefeli sana.Je wizara wameweka matokeo haya kimya kimya kuepusha aibu ya shule za kata?
Shule za kata kiuno siku zote zinaleta aibu :shock:
 
Uzuri wa elimu yetu sio katika ubora wa elimu Bali ni katika kuhakikisha kuwa tunakuwa na wahitimu wengi na vyumba vingi tunavyoviita madarasa
 
Back
Top Bottom