Wanaofikiri kwa MAKALIO ndio wanatufikisha hapa tulipo, wasome hapa......

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Wadau,watu wengi wamekuwa wakilalamika juu ya matatizo mbalimbali yaliyo na yanayolikabili taifa,lakini kuna watu ambao huwa wanafikiri kwa makalio nionavyo mim hawa ndio wametufikisha hapa....wacha niwataje

1.Wananchi wanaopiga kura baada ya kuhongwa,aidha sabun,nguo,pilau au chochote.

2.Wauza shahada wakat wa uchaguz

3.Wasiopiga kura kwa makusudi kwa madai kuwa hakuna tija kwao kupiga kura

4.Wawakilish wetu wanaoamua kuatetea na kuunga mkono hoja kwa 100%

5.Watendaji wa serikali wanaoamua kusain mikataba ya hovyo kwa maslah yao,mfano mwanasheria aliyepita na wa sasa

6.Mawaziri wanaopenda kujibu maswali ya hovyohovyo bungen kama vile magembe.

7.Viongoz wa kidin wanaotetea ujinga wa serikal

8.Huyo anaewateua watendaji kwa kujali uswahiba

Endelea kutoa list ya wanaofikiria kwa kutumia MAKALIO au vijambio

Safi sana kamanda, wewe ni mpambanaji na unaheshimika kwa mchango wako wa kuikomboa nchi, ukombozi wa pili wa taifa letu sasa tunaushuhudia hapa JF, Big up Mods na wamiliki woote wa Jamii Forums.

10. Huyu aliyetembea nchi nzima akijinadi kuwa atawaletea wananchi maendeleo matokeo yake kawanyanganya wananchi maendeleo yao.
11. Hiki chama, hiki!!!!!!!.
12. Watanzania wote, waliopiga kura (a.k.a kula) ya ndiyo kwa watu hawa. Watanzania wote ambao hawawezi kusema hapana kwa mateso wanayoyapata wao na vizazi vyao.
9.mkurugenz wa NEC

aaaa,

13. TAKUKURU

nyerere angefufuka angezimia hapohapo na kufa tena

"Mungu ana akili sana kumuua Nyerere mapema maaana kama angekuwepo leo angejiua mwenyewe kwa kujinyonga "

yeye ni nani si ndo mfumo aliousisi huo
nyerere angefufuka angezimia hapohapo na kufa tena

"Mungu ana akili sana kumuua Nyerere mapema maaana kama angekuwepo leo angejiua mwenyewe kwa kujinyonga "

Hivii hawa wanaofikiri kwa kutumia makalio ni watutu wanaotegemea nini hasa? Kwani anayetumia kichwa kufikiri ni mtu anayeangalia maslai ya nchi kwanza, anayefikiria kwa kutumia tumbo ni yule/wale wanaoangalia maslai yao binafsi kwanza. Sasa hawa wanaotumia makalio ni watu wanamna gani?

10. wezi wote wa elimu na wanaopenda kuitwa ma doctor wakati hata vyuoni hawana atendence kabisaa.

11, wasiojua maana ya neno: nitaitumia elimu yangu kwa faida ya wote.

Similar Discussions

Back
Top Bottom