1. Edward Lowassa
2. Dr. John Pombe Maghufuli
Akiteuliwa mmoja kati ya hawa, watanganyika tutafikiria kuwapa CCM urais, tofauti na hawa tutawapa chadema nchi.
Acha kumchanganya Lowasa na watu wema. Sijui umri wako lakini kama una ndg yako mtu mzima muulize Nerere alipomkataa alisema nini? Mambo mengine msirukie kama kunguru Ikulu kuna Black Book yenye maelekezo ya kuendesha nchi ambayo kuyapuuza ni kujipatia matatizo na nchi ikakushinda kuitawala. Unamkumbuka Aboud Jumbe!??? Imeandikwa: hana ruhusa kuvuka isipokuwa kwa sababu maalum kama ugonjwa nk..... lakini si sherehe za mapinduzi ama Uhuru...... Nani anataka hayo? Angefaa lakini JEURI yake ilimponza hadi Mwl akamdisco Naamini hadi hapo umenielewa wewe na wana JF wenzako wenye Kiherehere cha kuchokonoa hadi mnampa Kichwa EL. Amuulize Mrema watu walisukuma Gari tolka Airport hadi Manzese wakiimba Rasi Rais lakini hawakumpigia kura