Wanaoendekeza chuki dhidi ya Wachaga

Wachagga unaimanisha wavunjo sio, kwa maana hao wengine sio wachagga
Mkuu naöna unazidi kuilazimisha concept yako ya wavunjo ndo wachaga bt huna wafuac wa kukusuport....mpaka karne hii it is no gud kupiga domo who is a real chagga.....it is not useful let us be all Tanzanians regardless of tribal disparities.Mie pia ni mzaliwa wa huko bt lets hold a breath over this! I stand to be corrected.
 
Back
Top Bottom