Wanaobadili uraia hubaki na kabila la awali au huchagua kabila jipya kwenye nchi mpya?

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
15,861
35,190
Nipo kwenye mchakato wa kubadili uraia toka Tanzania kuwa Somalia. Je, kuhusu kabila langu la hapa Tanzania ndio basi au nitakuwa Msegeju wa Somalia?

Je, huko Somalia nikishapata uraia nikiulizwa kabila nitaje la Tanzania au nitafute kabila jipya huko Somalia?
 
God I'd good will answer you soon,but remember to forgiveness and forget him, no one Is quit at this werld,take care.
 
21st century mtu anawaza ujinga.. Kweli hili taifa sasa hivi limekua la majuha.. Magufuli ana kazi kweli kweli kuleta maendeleo kwa ma vichwa kama haya ya matope!
 
Wasomali wenye asili ya tanzania wapo wengi

Pia wakimbizi wa Tanzania baada ya Hali kisiaasa kuharibika mwaka 2001 walikaa Somalia kwa Zaidi ya miaka 10
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom