Kwa wanaohitaji kuolewa

Keneth12

Senior Member
Oct 12, 2015
115
162
Tumejitoa kuwaombea kina dada ambao wanahitaji wachumba wa kuwaoa, tutamuombea tu ambaye yuko serious na anahitaji kweli kutokana na sababu mbali mbali na za msingi anazo zijua yeye. Kama kuna tatizo linalo kufanya usiolewe na unalijua wewe tafadhali tatua kwanza halafu uje tutasali pamoja. anayehitaji atuandikie kwenye email: prayerrequest123431@yahoo.com Jina lake na namba yake tutampigia ili tuombe kwa pamoja. ukituma namba isiyo sahihi na isiyoyakwako tukikukosa hatutarudia kukupigia hakikisha tunapokupigia upo sehem ambazo hazina kelele ili tuwe na muda mzuri wa maombi. tutashukuru kama utatupa namba ya tigo au Vodacom maana itakuwa rahisi kwetu kukupigia.

Tutakupigia simu asubuhi saa 12 au saa 12 jioni huo ni muda mzuri kwetu kupiga simu. kwa wale wasiokuwa na nafasi muda huo huenda watakuwa njiani kwenda kazini au kurudi kazini muda huo basi watakapoandika email au sms wachague muda saa 10,11 alfajiri au saa 3,4 usiku waandike muda. SIMU ITAKUWA WAZI KWA MUDA TAJWA TU.

tunaanza na kuwaombea ambao hawana watoto yani ambao hawajazaa wiki ijayo tutakuwa na ratiba ya kuwaombe hata wale ambao wenye watoto ambao wamesha zaa. Mungu awajibu haja ya mioyo yenu na awape mnacho kihitaji.

SMS 0658 41 74 86 andika jina, muda wa maombi kama tulivyo ainisha hapo juu, usitupe muda tofauti na huo maana hatuna nafasi kwa muda mwingine. (usibip tafadhali) kama unapiga hakikisha una dakika zisizopungua 8 za maombi.

***ASIYE MHUSIKA ASI COMMENT TAFADHALI***
 
Tumejitoa kuwaombea kina dada ambao wanahitaji wachumba wa kuwaoa, tutamuombea tu ambaye yuko serious na anahitaji kweli kutokana na sababu mbali mbali na za msingi anazo zijua yeye. Kama kuna tatizo linalo kufanya usiolewe na unalijua wewe tafadhali tatua kwanza halafu uje tutasali pamoja. anayehitaji atuandikie kwenye email: prayerrequest123431@yahoo.com Jina lake na namba yake tutampigia ili tuombe kwa pamoja. ukituma namba isiyo sahihi na isiyoyakwako tukikukosa hatutarudia kukupigia hakikisha tunapokupigia upo sehem ambazo hazina kelele ili tuwe na muda mzuri wa maombi. tutashukuru kama utatupa namba ya tigo au Vodacom maana itakuwa rahisi kwetu kukupigia.

Tutakupigia simu asubuhi saa 12 au saa 12 jioni huo ni muda mzuri kwetu kupiga simu.

tunaanza na kuwaombea ambao hawana watoto yani ambao hawajazaa wiki ijayo tutakuwa na ratiba ya kuwaombe hata wale ambao wenye watoto ambao wamesha zaa. Mungu awajib haja ya mioyo yenu na awape mnacho kihitaji.
KUMBUKA SIOO WOTE WENYE EMAIL WANA SHIDA ZA NDOA NA WATOTO KAMA LENGO ZURI KUOMBA KWANINI USIWEKE NAMBA HAPA AMA.UWAPIGIE AMA.WAKUTAFUTE

EMAIL ZIMEKOSESHA HATA AJIRA ZA WATU BORA WEKA NO MWENYE IWEZO WAEMAIL.AFANYEHIVYO
 
Pia mimi nami naitaji maombi nipate mke mwema

Pokea n jesus name ..Kuna mambo kadhaa muhimu kuyaangalia kabla ya ndoa unawezaungana na wale wanaoita ndoa ndoana....

1))tubu kwa ajaili ya ukoo wako namaanisha upande wa baba na mama..Hii kama baba ama mama alikosea akaongea mabaya kwa bibi tuone mjukuuwangu kama ataoa ama kuolewa aitanii kama wazazi waliiacha ilivyo

2))tubu kwa ajili ya dhambi zako mwenyewe......
3))tubu kwa ajili ya x gfriendwako kama ulikuwa nae wengi walicheza na mioyo ya watu lakini sio kila mioyo huchezewa wengine wakiongea neno huja..Alirembi..Omba toba kama ulimkosea anywhr
4))tubu kama uliwa mpa mimba mwanamke akatoa kwasababu ya maneno yako ama sioi ama sinahela ya kutunza..Hii tafuta hata mtu wa kanisaa akufundishe maana n toba inayohusu damu...
 
Tumejitoa kuwaombea kina dada ambao wanahitaji wachumba wa kuwaoa, tutamuombea tu ambaye yuko serious na anahitaji kweli kutokana na sababu mbali mbali na za msingi anazo zijua yeye. Kama kuna tatizo linalo kufanya usiolewe na unalijua wewe tafadhali tatua kwanza halafu uje tutasali pamoja. anayehitaji atuandikie kwenye email: prayerrequest123431@yahoo.com Jina lake na namba yake tutampigia ili tuombe kwa pamoja. ukituma namba isiyo sahihi na isiyoyakwako tukikukosa hatutarudia kukupigia hakikisha tunapokupigia upo sehem ambazo hazina kelele ili tuwe na muda mzuri wa maombi. tutashukuru kama utatupa namba ya tigo au Vodacom maana itakuwa rahisi kwetu kukupigia.

Tutakupigia simu asubuhi saa 12 au saa 12 jioni huo ni muda mzuri kwetu kupiga simu.

tunaanza na kuwaombea ambao hawana watoto yani ambao hawajazaa wiki ijayo tutakuwa na ratiba ya kuwaombe hata wale ambao wenye watoto ambao wamesha zaa. Mungu awajib haja ya mioyo yenu na awape mnacho kihitaji.
Man of God, nashaur ungeweka namba ya simu, ili muda ukifika tuwe pamoja kwenye maombi
 
Back
Top Bottom