Wananichanganya sana pliz naomba mnisaidie!

hata steven wassira ni handsome kwa maono na uelewa wake na the way anavyojitazama na kujilinganisha na wana BUNDA wenzake,na wewe ni handsum katika mazingira na ufahamu wako..poa bana handsum pambana utapendwa tu ila nachojua mi handsome pesa bwana ukiwa nazo utapata utakacho!
 
Come down ma men fact iz jana wakat na tafuta habari za Rostam aziz ndo wakaniletea hii forum mi ni mgeni humu jamvini huyo HANDSOME wa UDOM ndo yupi? Hivi kweli UDOM pale kuna ma handsome kweli pale? Plz don't humiliate me,help me pliz.
we handsome mi dume la mbegu!!, chukua dem mi nije nitumie. Ha..ha..
 
ha,ha,ha,ha,ha,haaaa..,.. Eti handsome ha,hb,ha,ha,ha,ha,ha,haaa sasa anasita nini na wewe c handsome kwann usimpate
 
mi ni mgeni na nimeijua jana blog I got ma fist degree from kualalumper univasity malesyia now on nipo kitaa natafuta job.But there iz two girls who drive me so crez huyu wa kwanza kiukweli ninampenda sana bt baada ya kumwambia hakunijibu ki2 then after tukaendelea na urafiki bt kila nikimkumbusha kuhusu jibu anacheka alafu anasema bado anafikiria so juzi kati ni kambana sana akanijibu Eti mi ni HANDSOME sana so eti ninamdanganya na haamini kama kweli ninampenda! Kiu kweli hajakosea coz I so handsome na hata nikivaa makafaulaya bado huwa na ng'ara sana and I proud of it.Nikajaribu kumbembeleza lakini wapi! Bas nikamchunia kama 3weeks mwenyewe akaanza tena mara kunibeep,sometimes ana tex bt nikimkumbusha anadai eti nina mtania coz mi ni HANDSOME sana na siyo type yake!huyu mwingine yeye ananipenda sana but simfili kivile japo ninashawishika kumpenda coz naona anamuelekeo ijapokuwa huyu wa kwanza ndo ninampenda zaidi !! Kiukweli wa kuu wananichanganya sana hawa mabinti plz help me.

Nimechoka ngoja kwanza nikapate kikombe cha kahawa nirudi upya naweza pata nguvu za kutoa ushauri
 
Wakuu huyu mtoto anatuzenguwa umebadili jina? kama ni mzuri basi ngoja jamaa watakupim au vip? sijaona mwanaume timamu anajisifia uzuri utakuwa bwabwa simzima
 
Dogo acha usharobaro , dunia ya sasa kuhangaika tafuta kazi mapenzi baaade ebu jaribu kuwa mtu mzima bwana ...
 
wewe rudia upya chuo.habari za uhandsome peleka kwenu ms..n..g..e,yan na elimu ya chuo uliyonayo bado unawaza uhandsome, huwezi pata kazi popte b..w..eg..e ww.juzi tu mwingine alileta kama yako katokea UDOM leo ww umetokea malysia,hivi vyuo vya sasa hivi vinatoa product mbovu namana hii.back to the topicjianadae kupakatwa na huo uhandsome wako, jiulize kwa nini asilimia kubwa ya wanawake beaty hawaolewi na hata wakiolewa hawadumu kwenye ndoa, ulivyo kilaza sidhan kama utaweza kufikiri sawasawa.na ujue mwanamke yoyote haangalii mambo ya uhandsome ama la .wao wanachojali perfomance yako as a real man,. mwanaume wa kweli hawez act kama wewe. be realistic bi.t.ch boy.
kwi!kwi!kwi!kwi
 
mi ni mgeni na nimeijua jana blog I got ma fist degree from kualalumper univasity malesyia now on nipo kitaa natafuta job.But there iz two girls who drive me so crez huyu wa kwanza kiukweli ninampenda sana bt baada ya kumwambia hakunijibu ki2 then after tukaendelea na urafiki bt kila nikimkumbusha kuhusu jibu anacheka alafu anasema bado anafikiria so juzi kati ni kambana sana akanijibu Eti mi ni HANDSOME sana so eti ninamdanganya na haamini kama kweli ninampenda! Kiu kweli hajakosea coz I so handsome na hata nikivaa makafaulaya bado huwa na ng'ara sana and I proud of it.Nikajaribu kumbembeleza lakini wapi! Bas nikamchunia kama 3weeks mwenyewe akaanza tena mara kunibeep,sometimes ana tex bt nikimkumbusha anadai eti nina mtania coz mi ni HANDSOME sana na siyo type yake!huyu mwingine yeye ananipenda sana but simfili kivile japo ninashawishika kumpenda coz naona anamuelekeo ijapokuwa huyu wa kwanza ndo ninampenda zaidi !! Kiukweli wa kuu wananichanganya sana hawa mabinti plz help me.

Hao wanawake wanakukimbia na wanaona huna mpango kwa masifa yako haya ya kijinga. Mara nimesoma kuala lumpur mara mimi handsome mara sijui nini hakuna mwanamke anayependa masifa haya ya kijinga wewe
Wewe mwanaume na mwanaume hasifiwi uzuri anasifiwa kazi na mfuko wake ukoje
Ukitaka wanaume wakusifie uzuri wako wana ajenda nyingine vichwani mwao na ni mbaya sana
Bado mdogo sana tafuta kazi kwanza (kama utakuw ana jeuri ya kupata kazi maana hiyo lugha mhhh) na then ndio ujue mambo ya mapenzi dogo
Na futa kabisa huo mpango wa kujisifia wewe ni handsome
 
Dogo womens do not look for Handsome Guys, but they look for MAN. Be a man and u will one heart. Kujidanganya na uhandsome utaona siku zaenda na wanakuchezea tu. Onyesha msimamo kama mwanaume. Try to be different from the way they look at you. MWISHO TAFUTA KAZI ACHANA NA MAWAZO HAYO UTASHINDWA KUENDELEA MAANA KARIBU UTAANZA KUWAIMPRESS.
 
Come down ma men fact iz jana wakat na tafuta habari za Rostam aziz ndo wakaniletea hii forum mi ni mgeni humu jamvini huyo HANDSOME wa UDOM ndo yupi? Hivi kweli UDOM pale kuna ma handsome kweli pale? Plz don't humiliate me,help me pliz.

hebu kwanza kajichunguze vizuri, ukute hata huyo bint hapend masharo something, lol. Eti mie handsome meeeen, weweeee tena mie ngekuwa ndo huyo dada ungelihama mji. Edit ngeli yako kwanza halafu urudi hapa na uzi wa maana. dah! kweli dunia hii ina wa2 na viatu nimeamini
 
Dogo womens do not look for Handsome Guys, but they look for MAN. Be a man and u will one heart. Kujidanganya na uhandsome utaona siku zaenda na wanakuchezea tu. Onyesha msimamo kama mwanaume. Try to be different from the way they look at you. MWISHO TAFUTA KAZI ACHANA NA MAWAZO HAYO UTASHINDWA KUENDELEA MAANA KARIBU UTAANZA KUWAIMPRESS.
sa atafute kazi kwa elimu gani aliyo nayo mkuu?kama kuandika 2 hawezi,huko kwenye kudeliver knowlegde ndo ataweza kweli?
 
Mbona mahandsome tuliopo hatuombi tunang'oa tu watoto ww bado ni mrugaruga na hao mademu wamekustukia your nothing ,
 
mi ni mgeni na nimeijua jana blog I got ma fist degree from kualalumper univasity malesyia now on nipo kitaa natafuta job.But there iz two girls who drive me so crez huyu wa kwanza kiukweli ninampenda sana bt baada ya kumwambia hakunijibu ki2 then after tukaendelea na urafiki bt kila nikimkumbusha kuhusu jibu anacheka alafu anasema bado anafikiria so juzi kati ni kambana sana akanijibu Eti mi ni HANDSOME sana so eti ninamdanganya na haamini kama kweli ninampenda! Kiu kweli hajakosea coz I so handsome na hata nikivaa makafaulaya bado huwa na ng'ara sana and I proud of it.Nikajaribu kumbembeleza lakini wapi! Bas nikamchunia kama 3weeks mwenyewe akaanza tena mara kunibeep,sometimes ana tex bt nikimkumbusha anadai eti nina mtania coz mi ni HANDSOME sana na siyo type yake!huyu mwingine yeye ananipenda sana but simfili kivile japo ninashawishika kumpenda coz naona anamuelekeo ijapokuwa huyu wa kwanza ndo ninampenda zaidi !! Kiukweli wa kuu wananichanganya sana hawa mabinti plz help me.

Ndio maana napapenda JF.........................burudani haziishi..........................
Cabaiser..................26 yrs old............still sounding like 20yrs old and below!......................shame on you.............................

Huko Malesyia ulienda kusomea ucabaiser eeh?...........naona ndicho ulichaofuzu!

Yaani umetoka huko mbio................brake ya kwanza.................kutafuta wanawake!Mbona hasara jamani..................
Gia zako...........nimesoma malesyia.............i so handsome..........

Ndio maana huyo mmoja anakucheka...........kazi unasubiri mjomba akuite kwa kimemo au ?
Hebu acha Ujinga,tafuta kazi na uanze kujipanga kimaisha..............
 
Come down ma men fact iz jana wakat na tafuta habari za Rostam aziz ndo wakaniletea hii forum mi ni mgeni humu jamvini huyo HANDSOME wa UDOM ndo yupi? Hivi kweli UDOM pale kuna ma handsome kweli pale? Plz don't humiliate me,help me pliz.

ha ha haaaa...kumbe ndo wale wanajiita sharobaro/shalobalo!!!! ha ha haaaa...duh mambo ya kualalumper univasity malesyia teh teh teeeh....
 
Yaani kwa hizo comment hatorudi tena humu atakuwa kama yule Mr. handsome alivyokimbia
Mhurumieni hapo ndio mwisho wake wa kuandika na kujieleza
 
Dah wasomi wa nje hawa! ndo maana nchi haziendelei, kaanze primary dogo utafika mbali!
 
Back
Top Bottom