CHupa ya zamani mvinyo mpya
Karibu sana!!!!!!
Kaka Charles nakuomba usirudie tena. Ukiendelea tutakutimua. Na kuanzia sasa tunakuchunguza, possibly u r not one of us.
Asante sana kaka.Unaoneka mkarimu sana wewe!
Ahahahahaaah kwani wengine wanakutupia majungu?asante sana!!!!Hujanitupia majungu wewe.Safi sana!
CHupa ya zamani mvinyo mpya
we ...mimi sio kaka:nono:
Oops!Sorry.
apology excepted....
Tuko pamoja mkuu mgeni anajua chumbani kuna vitanda vingapi ?.Huyu mwenyeji kabisa hakuna haja ya kumkaribisha ajiudumie mwenyewe.
Huko unakoelekea sasa ndugu siko.............kila wakati utaapologize sasa!!!! Ahahahahaaaah!m
Thanks.ummm,eeh,can i ask somethin'?
m
Thanks.ummm,eeh,can i ask somethin'?
Huko unakoelekea sasa ndugu siko.............kila wakati utaapologize sasa!!!! Ahahahahaaaah!
depends..........
what do u wana know???
Well......its not like am making a move on you or something.I just want to know if you are.........you know.......?(i think you already know what i want to know,so pls answer me)lots of love!
mmmhhh wewe
samahani i cant answer that
i would like to keep that to my self
srry.
Haya........mjombawe ...mimi sio kaka:nono: