Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,364
Asante kwa ushauri!
pole uda'a..naona umeteseka sana na ndoa ndoana uliyopo...pse karibu huku-niliko upate japo pozeo la moyo wako...sio kweli kwamba midume yote chini ya jua ni mibakaji kama ulekuwanaye anayekutoa chozi mtoto mzuri kama wewe...pole sana baby uda'a...
nisingependa kuona unatokwa na chozi hata tone moja zaidi ya hilo linalodondoka pichani.. tafadhali dear uda'a go get ur lovely smile.. i know smile kama lile la siku ya harusi yako bado lipo..pse come-on uda'a.. smile for me dear..smileee pleaseee