Wanandoa wengi wanabakana..

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Pengine waweza kuwa mmoja wapo pasipo kujua
ndugu rafiki najua si kila mtu anaependa kufikwa na yanayowakuta wanandoa wa sasa..najua kuna wakat mkiwa marafiki mlihisi mnaitaji dunia kumalizika jinsi upendo wenu ulivyokuwa imara lakini gafla na wengine hata mwezi awachukui mmoja wenu akaanza kujidhihirisha ni nani na kutoa yale yaliyoko mimoyoni mwake..nasema mimoyoni maana wakiwa kama gf na bf walikuwa wanatoa mapenzi yao moyoni so nahisi wanapojionyesha wazi wanaitoa mijimoyoni mwao......

Ni lazima tujue nini maana ya kubakana....kubakwa ni kutoa hitaji kwa mwenzio bila wewe binafsi kuridhia na hili kama amko kisheria ni swala linalokufikisha kuzeekea karibu na keko ama segerea..kinachotofautisha hapa ndoa nyingi kutokana na matatiizo humo ndani wamefika wakati hata baba akitaka kula tunda anasubiri mama akiwa na taulo la kwenda kuogea ahapohapo analazimisha..lakini ni ...akipoteza taiming anaweza kulisikia tunda kwenye redio za clouds..maisha haya yamekuwa yakusikitisha sana sana wanandoa wengi wanaingia kwenye tendo la ndoa pasipo na furaha..nikiwa na mtaalamu mmoja wa uzazi aliniambia ndoa nyingi haata kukosa watoto zinatokana na matatizo yaliopo humo ndani..akasema unajua mdogo wangu zile sperms kuweza kuwa na nguvu za kutosheleza kutoa mtoto aziitaji uwe umekwazika nakwambia mtalala mpaka dunia iishe na kila mkienda hospital mnakuta wazima...akashauri ni vyema kamammejipanga kutafuta mtoto mjitayarishe kweli kweli..nasema hivi maana najua wajua kwamba mungu awezi kumleta mtoto dunian kuja kuteseka hata kidogo nakwambia hata uwe na shahwa kama za bata kama mungu anajua huyyo mtoto mnaemleta atataabika na kwambia utaishia kufanya mazoezi kula kila aina ya chakula....

Ushauri ifike sasa wanandoa kabla ya kuoa ama kuolewa juen kusudi lenu nini na kama ni mtoto tu kwanini mkapeane shida kwenye ndoa..nafikiri ni vyema muamue kuwa moto ama baridi kama uko tayari kwa ndoa good oa ama olewa muishii kwa upendo na amani lakini kama amko tayari na mmoja wenu lengo ni toto loh bora uamue moja

nawatakia ndoa njema kwa wale waliodhamiria kuingia kwenye ndoa
 
It is easier said than done. before marriage, most of the couples discuss so many theories, which do not hod water in marriage life. However, I agree with you kuwa most of the couples... wanabakana (according to your definition)
 
rape trial sometimes show how mpenzi wako alivyona hamu juu yako.
I like it (rape trial) at least once per month ila isiwe full kubaka
 
rape trial sometimes show how mpenzi wako alivyona hamu juu yako.
I like it (rape trial) at least once per month ila isiwe full kubaka

Japokuwa I never did, wala will never do this in my conscious, lakini nakupa tano kwa saikolojia yako.... Hakika hii kazi unaifahamu....
 
Japokuwa I never did, wala will never do this in my conscious, lakini nakupa tano kwa saikolojia yako.... Hakika hii kazi unaifahamu....
sometimes i like when he move machenically before round table solutions hence agrement/ridhaa (strictly not more than once in a month)
 
sometimes i like when he move machenically before round table solutions hence agrement/ridhaa (strictly not more than once in a month)

Hahahahaha..... kumbe hii nayo ni dozi ndani ya ndoa.....! Lakini mi huwa naamini kuwa kwa kutumia nguvu tu, yaani bila vitisho na urubuni wa aina yoyote, mwanaume mmoja hawezi kumbaka mwanamke ......! Sijui hii nayo ni kweli au....
 
Mapanzi ndani ya ndoa yamejaa taka taka nyingi mno. Mnapokuwa wapenzi wa nje kila mmoja anajitahidi kuonesha kwa mwenzie ile sura ya kimaadili inayokubalika. Mwanamke anajitoa fully na mwanaume anajitoa fuly. Lakini mkishaingia katika ndoa aaaaa ndo yanaanza makorokoro kibao. Interrest ambazo mwanzoni hamkuambiana kuwa mnazo, ndo zinaanza kuwa muhimu, tena kama miaka mitano hivi down the road.

Mapenzi yanaanza kuwa kero, kwani yale makorokoro ambayo mwenzio hawezi kuyasema wazi wazi ndo yanaanza kuwa na nguvu! Wengi wangejua ni heri kutojiingiza katika ndoa kabisa, muendelee na mapenzi ya nje tu. Kwa sababu wakati mkiwa na mapenzi ya nje hayo makorokoro hayaji.

Kuna wanawake hupenda at least nguvu fulani itumike, isipotumika hajisikii stimu. Kuna wanaume nao hupenda atumie nguvu fulani, akiachiwa tu, basi stimu yake inaisha. Tatizo ni kuwa haya hayajitokezi wakati wa mapenzi ya nje, yanajitokeza kwenye ndoa!!!
 
Asante kwa ushauri!
avatar3710_2.gif

uda!!
kama hii picha ni wewe ni pm tafadhali:pound:
 
Hahahahaha..... kumbe hii nayo ni dozi ndani ya ndoa.....! Lakini mi huwa naamini kuwa kwa kutumia nguvu tu, yaani bila vitisho na urubuni wa aina yoyote, mwanaume mmoja hawezi kumbaka mwanamke ......! Sijui hii nayo ni kweli au....
kabisa
mwanaume mmoja hanibaki especially awe hajanizidi uzito kwa kilo zaidi ya 20.
ila kwa manaume waliopitia MARTIAL ART siwezi sema kitu manake wanaelewa maeneo delicate ya mwili na namna ya kuyapiga so inawezekana kabisa kubaka
 
Kwa hiyo ninapokuwa na assumption kuwa mwanamke; provided sijamzidi uzito wa kilo 20, sijatumia vitisho wala ulaghai wa aina yoyote, japo kwa kumsukuma basi atakuwa amekubali, ni sawa? Lakini naomba ufafanuzi kidogo juu ya MARTIAL ART...!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom