Wanandoa msuguane migongo jamani!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,907
22,053
Wazo zuri
nimeona ndoa nyingi kuna hali ya kuogopana kuogeshana na leo
hii nimeona niwwaletee hii mada ya matatizo yake
kuna watuwengi wanakuwa wakijikuna kwenye ukuta ama wa nyumbani ama
maofisini uchunguzi unaonyesha tatizo la kutosuguana mgongoni limeleta
wanandoa kuwa na uchafu mwingi sana mgongoni kuna watu wana miaka zaidi ya kumi
awajawahi kusuguliwa mgongoni mgongo kama sehemu nyingine yaitaji kusuguliwa jamani

hivyo mkiwa kama wanandoa usikubali mumeo ama mkeo kuanza kuwashwa washwa ovyo mgongoni ogen pamoja suguaneni mkiweza malizanneni ruksa mmehalalishwa

nawatakieni ndoa zenye furaha zisizo na aibu
 
Yaani mkuu ilibidi kwanza nicheke kabla kutafakari hii mada yako nzuri...sasa kama mtaanza kumalizana kabla ya kusuguana hiyo migongo itabaki michafu kila siku...ikibidi zoezi la mwisho litafanyika mwanzo...au kusuguana iwe mwisho?
 
ha haaaaaaaaaaaaa. siku hizi kuna mabrashi yana mshikio mrefu. linunue hilo liweke bafuni, kila mtu atalitumia kwa wakati wake
 
Ndugu yangu imebidi nicheke
inaonekana ulikuwa mpenzi sana wa kipindi cha mama na mwana unakikukmbuka
mpwa wasuguane kwanza wakianza sidhan watafika uko.nashukuru kwa angalizo
 
ha haaaaaaaaaaaaa. siku hizi kuna mabrashi yana mshikio mrefu. linunue hilo liweke bafuni, kila mtu atalitumia kwa wakati wake

u mean it aisee nielekeze nikaipate na mm mana hapa wanaongelewa wenye ndoa wengine bado tupo tupo kwanza
 
u mean it aisee nielekeze nikaipate na mm mana hapa wanaongelewa wenye ndoa wengine bado tupo tupo kwanza

kama upo dar nenda Game, Shoppers nina uhakika utapata. sina uhakika kama maduka ya kawaida yanapatikana
 
Duh
si mchezo unanikumbusha 3rd newton law of motion every action ................................
Si mchezo
 
hahaa pdiddy mada nzuri lkn kucheke huwezi kujizuia!
hehee kwa hiyo watu wanajikuna kwenye kuta za maofisini,wasíje tu wakatafuta jiti la kujikunia mgongo maana uwasho ni noma!
haya wenye ndoa msuguane migongo yenu hiyo!
 
Wazo zuri
nimeona ndoa nyingi kuna hali ya kuogopana kuogeshana
na leo
hii nimeona niwwaletee hii mada ya matatizo yake
kuna watuwengi wanakuwa wakijikuna kwenye ukuta ama wa nyumbani ama
maofisini uchunguzi unaonyesha tatizo la kutosuguana mgongoni limeleta
wanandoa kuwa na uchafu mwingi sana mgongoni kuna watu wana miaka zaidi ya kumi
awajawahi kusuguliwa mgongoni mgongo kama sehemu nyingine yaitaji kusuguliwa jamani

hivyo mkiwa kama wanandoa usikubali mumeo ama mkeo kuanza kuwashwa washwa ovyo mgongoni ogen pamoja suguaneni mkiweza malizanneni ruksa mmehalalishwa

nawatakieni ndoa zenye furaha zisizo na aibu
mmmhhh umejuaje?

lakini hii yakuogesha ni idea nzuri hatakama siokusuguana migongo....
 
Father xmass
niko na gym yangu ukija ukiitaji kusuguliwa ruksa tena na dada wazuri tu haapa
tanki bovu kuelekea kwa mboma unachagua sabuni gani,vitara,mbuni,safari,taifa

ama alovera/freemasson nk......hiyo ni ofa usijali mpaka utakapopata mke wa kuoa
 
Back
Top Bottom