wanandoa mnaenda GUEST HOUSE kufanya nini?

Wakati mwingine huko home unakuta mawifi, wakwe, mashemeji na watoto wako pale massa 24; kwa nini mimi na mwenzangu tusijimuvuzishe kwenda Guest House kupumzika kwa muda bila kusumbuliwa na hao ndugu na jamaa??? Naunga mkono wana ndoa kwenda guest house badala ya kila mmoja kutafuta njia za panya na kuvunja amri ya MUNGU kivyake vyake!!!
 
Back
Top Bottom