Kaitaba
JF-Expert Member
- Jun 30, 2009
- 916
- 52
Sasa nawapa sababu ya kibiologia, kwenye macho kuna lens ambayo uchukua picha ya mtu na kuipeleka kwenye cell DNA sehemu inayoitwa allele (Locus), kwa vile mwili uumbwa kila siku, hivyo basi sehemu ya nje ya mwili inapoondolewa uja sura ya ndani yenye sura ya huyo uliyemuangalia kwa kuda mrefu,Labda ndio ile kitu inasemwa kuwa wanaungana na kuwa mwili mmoja.Maana wanasayansi wanatuambia hivi tulivyo ni matokeo ya kile tunachokula, tunachofikiri na tunavyofanya/fikia maamuzi. So kama wanashare kila katika hivi wanaweza kufanana. Mwenye taarifa za ndani anawea kutujuza mengi zaidi!