Wananchi wengi wampuuza kikwete

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
kutokana na kauli yake ya kuwataka wananchi wasiudhurie maandamano ya chadema kwani yanaatarisha amani maelfu ya wananchi wamejitokeza kuhudhuria maandamano hayo na hii inaonyesha wazi kuwa JK amepoteza mvuto wa kisiasa na somo wanalolitoa chadema linaonekana kukubalika zaidi.
 
Somo la CHADEMA linaeleweka vizuri kwasababu hoja zao ni za ukweli na zina mgusa kila mtu wa nchi hii na hususani masikini. Wananchi tumeshaona sera ya CCM ni ufisadi na kusema uongo kwahiyo hatudanganyiki
 
Mtanzania wa unafikiri,
alfu anafanya maamuzi.
mfano anaambiwa maisha ni magumu vitu vimepanda bei, na mafisadi; ni vitu ambavyo anaviona live kwa anaamini na atashiriki ktk jitahada zozote zinazoweza kuleta unafuu wa maisha.
 
Akipuuzwa ataanza kujenga nidhamu
Siyo enzi ya ndiyo mzee,watu washabadilika,lazima abadilishe fikra na maneno yalenge kwenye maisha yetu
Akiendelea kutukejeli tutabadilisha mpaka chanels wakati anahutubia
 
Back
Top Bottom