eliesikia
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 787
- 755
Habari,
Utafiti uliopatikana hivi karibuni umefumbua yaliyofichwa... Wengi wamekuwa wakisikitika kwa CHADEMA kutoka bungeni bila kuwa na baraka za wananchi.. Mengi yameongelewa lakini wengi wamesema kitendo cha CHADEMA kutoka bungeni kimeonyesha kutokuwa na adabu kwa wananchi wao..
Wao wamesema wengi wao walitegemea CCM kuiba kura lakini walijitayarisha kuleta mgomo nchi nzima wakiaamini CHADEMA wangelisimamia hilo ili waliemtaka kwa kura awe kweli raisi.. .. Kwa kuwa huo ndio utaratibu mzuri kwa nchi za kiafrika ... Mpaka kiwake ndio kieleweke!!! Lakini CHADEMA hawakuamua kutenda yale waliyotegemea na woga walionyesha mkubwa saana hasa kwa jeshi la polisi licha ya wao wanachi kulinda kura siku zote za uchaguzi hadi matokeo...
Wengi wanaamini njia sahihi ni kutangaza kuigomea serikali kwa kila kitu ili haki itendeke lakini CHADEMA wameogopa kulifanya hili...
Pia wamelalamikia pia kutokushirikishwa kwenye kudai Katiba na tume huru ili hali CHADEMA wanadai wao wana NGUVU YA UMMMA... Sasa badala wawashirikishe wao ili waigomee serikali lakini wao wanaogopa matamko ya Said Mwema na jeshi la polisi...
Wamesikitika sana wengi wao wakidai kuwa HAKI HAIWEZI KUJA KWENYE KISAHANI... Sasa wanadai hatua watachukua wao wenyewe kama wananchi au wafanyakazi kuleta mgomo nchi nzima kwa kuwa aliechaguliwa si chaguo lao bali ni Ggabgo wa Tanzania.. Kajitangaza mwenyewe wala hakuna aliyempa kura....
Maamuzi magumu wanasubiria kutoka CHADEMA na wengi wanadai wako tayari kukaa barabarani ili mradi UFISADI na UFEDHULI ufikie ukomo japo CHADEMA wanageuza maneno kuwa hawatambui uchaguzi lakini Raisi wana...??? Sielewi kabisa... Mjadala huu hauwezi kufikia kama chakula kwenye kisahani ni lazima pawake moto ili kila mtu ajue kinachotusibu.....
Pamoja
SITAKI KUCHOCHEA LAKINI NAPENDA KUWASILISHA..