Wananchi wavunja kituo cha polisi na kuchoma moto nyumba za askari polisi

.... ni askari au mfanyabiashara?

Askari huyo tena ukute wa cheo cha chini kabisa, Inadaiwa wananchi hao walivamia hata nyumba zingine za askari wakafurumsha vitu vyao nje kwa hasira kama ishara ya kutaka waondoke! well,,ulinzi shirikishi uko at stake!
 
kumbe arusha tulikoseaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sina uhakika.
Ila ninachojua Chunya iko mkoani Mbeya, experience ya wananchi wa Mbeya na tifu kati yao na polisi ni remarkable kidogo. Kumbuka kwamba hawa wanaamini kuwa Mbeya ni nchi, na raisi wao wanamjua wenyewe! Ni mkoa huu huu ambao walipigana na polisi kwa siku kadhaa kabla 'raisi wao' hajawatuliza.
 
tatizo wameajiri pussies, hawa askari hawana maadili kabisa, nadhani hata sheria hawajui, wiki iliyopita ilikuwa songea wamepiga risasi wananchi, tena hii leo.. ila nadhaini halii inatokana na viongozi wa jeshi lao kuwa pussy kama wao. uvumilivu wa watanzania unaapungua siku baada ya siku, naamini muda si mrefu polisi watakimbia makazi ya uraiani, maana chuki im ekuwa kubwa sana. POLISI UHASAMA NA RAIA = POLISI USALAMA WA RAIA
 
Back
Top Bottom