Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wananchi waukimbia mkutano wa ccm huko kingo'ri

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by meningitis, Mar 31, 2012.

  1. meningitis

    meningitis JF-Expert Member

    #1
    Mar 31, 2012
    Joined: Nov 17, 2010
    Messages: 7,326
    Likes Received: 142
    Trophy Points: 160
    mamia ya wakazi wa kingo'ri wameonekana wakipanda vibasi(daladala na costa) wakielekea kwenye mkutano wa chadema maeneo ya tengeru.waliobaki kwenye mkutano wa ccm ni maafisa usalama na mamluki wanahisiwa kutoka monduli.
     
  2. Radhia Sweety

    Radhia Sweety JF-Expert Member

    #2
    Mar 31, 2012
    Joined: Aug 10, 2011
    Messages: 4,457
    Likes Received: 327
    Trophy Points: 180
    Mwongo mkubwa wee, mimi nipo hapa King'ori na watu wamejaa kibaoo
     
  3. rosemarie

    rosemarie JF-Expert Member

    #3
    Mar 31, 2012
    Joined: Mar 22, 2011
    Messages: 6,679
    Likes Received: 277
    Trophy Points: 180
    nimecheka sana mkuu'tunataka ushindi sisi
     
  4. TUMBIRI

    TUMBIRI JF-Expert Member

    #4
    Mar 31, 2012
    Joined: May 7, 2011
    Messages: 1,934
    Likes Received: 4
    Trophy Points: 0
    Walishajua sera zipo Tengeru. Sana sana hapo King'ori watakachoambulia ni Uporomoshaji wa Matusi! Sasa mtu gani mwenye akili timamu aende yeye na mke na watoto wakasikilize matusi!
     
  5. TUMBIRI

    TUMBIRI JF-Expert Member

    #5
    Mar 31, 2012
    Joined: May 7, 2011
    Messages: 1,934
    Likes Received: 4
    Trophy Points: 0
    Sawa watu wamejaa lakini ishu ni kwamba waliojaa ni wapiga kura wa Monduli!
     
  6. Daudi Mchambuzi

    Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

    #6
    Mar 31, 2012
    Joined: Nov 25, 2010
    Messages: 21,271
    Likes Received: 11,635
    Trophy Points: 280
    punguza pressure, mambo bado ila make sure umevaa pumpers.
     
  7. meningitis

    meningitis JF-Expert Member

    #7
    Mar 31, 2012
    Joined: Nov 17, 2010
    Messages: 7,326
    Likes Received: 142
    Trophy Points: 160
    wametoka monduli hao!wasemeshe kimeru kama hawajakujibu kimasai!njoo tengeru uwaone wana-kingo'ri walivyojaa.
     
  8. A2 P

    A2 P Senior Member

    #8
    Mar 31, 2012
    Joined: Mar 22, 2012
    Messages: 184
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Endelea kutupa habari
     
  9. bucho

    bucho JF-Expert Member

    #9
    Mar 31, 2012
    Joined: Jul 13, 2010
    Messages: 4,409
    Likes Received: 89
    Trophy Points: 145
    wale wa tengeru robo tatu wametokea moshi.
     
  10. MNYISANZU

    MNYISANZU JF-Expert Member

    #10
    Mar 31, 2012
    Joined: Oct 21, 2011
    Messages: 7,049
    Likes Received: 17
    Trophy Points: 135
    Habari njema sana hii. Magamba lazima yaende kuzimu.
     
  11. MNYISANZU

    MNYISANZU JF-Expert Member

    #11
    Mar 31, 2012
    Joined: Oct 21, 2011
    Messages: 7,049
    Likes Received: 17
    Trophy Points: 135
    Pedestrian thinking.
     
  12. MNYISANZU

    MNYISANZU JF-Expert Member

    #12
    Mar 31, 2012
    Joined: Oct 21, 2011
    Messages: 7,049
    Likes Received: 17
    Trophy Points: 135
    Go to hell with the so called magamba.
     
  13. meningitis

    meningitis JF-Expert Member

    #13
    Mar 31, 2012
    Joined: Nov 17, 2010
    Messages: 7,326
    Likes Received: 142
    Trophy Points: 160
    costa za moshi zunageuzia kikatiti,kingori na usa kupeleka watu tengeru
     
  14. R

    Rweye JF-Expert Member

    #14
    Mar 31, 2012
    Joined: Mar 16, 2011
    Messages: 12,738
    Likes Received: 1,313
    Trophy Points: 280
    Unalipwa dora ngapi mtanzania maskini kabwera mwenzetu??
     
  15. PakaJimmy

    PakaJimmy JF-Expert Member

    #15
    Mar 31, 2012
    Joined: Apr 29, 2009
    Messages: 16,234
    Likes Received: 105
    Trophy Points: 160
    Hizi habari zimenipa amani ya rohoni, na afya mifupani! Ccm watagundua very soon kilichomnyofoa kanga manyoya ya shingo. Hongera sana wanaArumeru kwa upevu huo wa akili. Mungu wa mbinguni awaamshe salama kesho, na awape ufahamu mchague mbunge kijana mwema na mwenye akili-Nasari.
     
  16. KOMBAJR

    KOMBAJR JF-Expert Member

    #16
    Mar 31, 2012
    Joined: Nov 15, 2011
    Messages: 5,848
    Likes Received: 6
    Trophy Points: 135
    Siyo lazima awe muongo...thibitisha!
     
  17. Radhia Sweety

    Radhia Sweety JF-Expert Member

    #17
    Mar 31, 2012
    Joined: Aug 10, 2011
    Messages: 4,457
    Likes Received: 327
    Trophy Points: 180
    umaskini wako usiniambukize na mimi babu eeh. Zee zima huna hata kibajaji, unaishi kwenye kichumba kimoko cha kupanga.............(msonyooooooooo)
     
  18. meningitis

    meningitis JF-Expert Member

    #18
    Mar 31, 2012
    Joined: Nov 17, 2010
    Messages: 7,326
    Likes Received: 142
    Trophy Points: 160
    kuna rumours zinaenea kwa kasi kuwa siyoi ni mtoto wa nje ya ndoa wa marehemu sumari.na mbaya zaidi mama yake ni mjaluo wa kenya.
     
  19. KOMBAJR

    KOMBAJR JF-Expert Member

    #19
    Mar 31, 2012
    Joined: Nov 15, 2011
    Messages: 5,848
    Likes Received: 6
    Trophy Points: 135
    Unaweza kudhibitisha usemalo?au una counter kuwa king'ori wametoka monduli?
     
  20. Radhia Sweety

    Radhia Sweety JF-Expert Member

    #20
    Mar 31, 2012
    Joined: Aug 10, 2011
    Messages: 4,457
    Likes Received: 327
    Trophy Points: 180
    Kuota ndoto mchana inaruhusiwa lakini hizo ndoto basi angalau ziwe 'germane'
     
Loading...