Wananchi wataendelea kudanganywa

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Siku za hivi karibuni Chama cha Demokrasia na Maendeleo kilimtumia mtaalamu mmoja kutengeneza na kusambaza uvumi kwamba nchi itakumbwa na uhaba wa umeme kwa kukosekana huduma ya LUKU, GESI, MAJI na Mafuta ya kuendeshea magari.

Wakazi wengi wa Dar es Salaam na mikoa ya karibu walinunua umeme mwingi, gesi, kujaza matanki ya maji kwa matarajio kwamba hali hiyo ingetokea. Haikutokea.

Hivi sasa mtaalamu huyo anatengeneza na kusambaza uvumi kwamba wanajeshi wanaandaa mpango wa kupindua nchi. Hvi mnaionaje hali hii wenzangu. Tunaelekea wapi Watanzania

Natoa hoja.
 
Back
Top Bottom