Wananchi washambuliwa wauawa na mabomu.

Waislamu wenye siasa kali ni watu hatari,

Hamna watu wa usalama duniani kama Waislamu.

usikubali kudanganywa na propaganda za wazungu.

nyie wenyewe mashahidi (mnaishi na waislamu hapa Tanzania kwa usalama kabisa)
 
Haijulikani unaongelea nini.

Inaonyesha unachuki sana na waislamu.

Inchi za waislamu ndio zilizo tawaliwa na wazungu kwa mabavu kama vile Iraq, Afghanistan, Palestane... wao ndio wametawaliwa na wanauliwa kila siku na wazungu, tena inchi karibia 20 za ulaya zinaichangia inchi moja ya kiislam ile waibe mafuta (Petroll) na uwizi mwingine, usipo chunguza mambo vizuri utajikuta unadanganyika vibaya sana na media za leo kama vile CCN, BBC, na zingine... zote hizo zina controlliwa na wazungu, media ipo mikononi mwao wanasema watakavyo 99% za habari zao ni uongo.

Halafu wanadega mabomu wanapo taka hasa Iraq kisha wanawasingizia eti Waislamu wamejilipua.

Wanafanya yote hayo ili wapate chansi ya kuiba petroll ya Iraq na kuitawala zaidi.

Hata waandishi wa habari wa inchi zingine wanawauwa wakienda Iraq.

unamaana mabomu yanayolipuka huko irak yanategwa na wazungu?!.
 
Back
Top Bottom