Wananchi washambuliwa wauawa na mabomu.

Kipre tchetche

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
238
40
Kushambuliwa na kuuawa waumini katika
nyumba za ibada kwa mabomu na
vikundi vya kiislamu vyenye misimamo
mikali si vya kuvumilia Tena .wameshambulia
wakristo wa Iraki wakauwawa siku chache
kabla ya xmass .Leo usiku boko haramu
wameshambulia waumini wakiwa kwenye
ibada ya kuaga na kupokea mwaka mpya
usiku wa Leo pia waumini wa kikristo
huko cairo misri wameshambuliwa na kuuawa
zaidi ya watu 22 kwa bomu kanisani
mbona Amani ya dunia inaharibiwa na vikundi
vinavyofahamika mbona sioni mikakati
ya kuvidhibiti? Au ninyi wenzangu mnaona
Hali hii ni yakunyamazia? Nawakilisha.
 
Unajua hawa wenzetu hii dini yao ni ya nna mashaka nayo sana, mbona sisi tunawakaribisha sana kwenye chi za kikristo? misikiti imejaa mpaka VATICAN huko, ulaya yoote, wanaendesha shughuli zao km kawaida, Mbona wao wanajifanya hawatutambui kwenye nchi zao? huu ni uungwana kweli? huyo ALLAH anaruhusu vitu km hivyo kweli? USHETWANI MKUBWA HUUU
 
Na hapa kwetu tanz wameanza wanataka
kutuletea balaa eti wanataka mahakama
ya kadhi na utawala wa sharia najiuliza
niwapi au nchi gani ya kiislam ambayo
tayari wanatumia sharia lakini waishi kwa
Amani hakuna ni mihanga na mabomu
kila kukicha angalia YEMEN
IRAN PALESTINA AFGANSTAN hawako
SALAMA hata NIGERIA hawa ni si watu
wa Amani kabisa CHIMUNGURU.
 
Nina wacwac na background ya dini yenyewe...inawezekana kile kikatuni cha Denmark na ile novel ya Satanic verses ilikua sahihi
 
waacheni wenzenu maana wanaamini wakifanya hivyo wanaenda ahela, sasa ninyi hamtaki?
 
Ndio maana mi nilikimbia huko. Niliingia Ukristo. Nikiwa huko nilikumbana na mafundisho miongoni mwa mengi, yanayosema: wapendeni adui zenu na kuwaombea mema: Mungu anasema usilipize kisasi. Kisasi mwachie mimi; mtu akikupiga shavu moja, mgeuzie na la pili: Mtu akikunyang'anya joho, mpe na kanzu; mtu akikuomba umsindikize kilomita moja, wewe msindikize kilomita mbili; mpende jirani yako kama nafsi yako. Hata amani na utulivu uliopo Tanzania unaletwa kiasi kikubwa na Ukristo.
 
Nina wacwac na background ya dini yenyewe...inawezekana kile kikatuni cha Denmark na ile novel ya Satanic verses ilikua sahihi

Hivi hii novel naweza kuipata wapi? au ilifutiliwa mbali?
 
wabeja kholomba 谢谢 和 非常欢迎
Ndio maana mi nilikimbia huko. Niliingia Ukristo. Nikiwa huko nilikumbana na mafundisho miongoni mwa mengi, yanayosema: wapendeni adui zenu na kuwaombea mema: Mungu anasema usilipize kisasi. Kisasi mwachie mimi; mtu akikupiga shavu moja, mgeuzie na la pili: Mtu akikunyang'anya joho, mpe na kanzu; mtu akikuomba umsindikize kilomita moja, wewe msindikize kilomita mbili; mpende jirani yako kama nafsi yako. Hata amani na utulivu uliopo Tanzania unaletwa kiasi kikubwa na Ukristo.
 
Ukianzisha mada jitahidi kuwa balanced. BOKO ni zadi ya dini. Watu wamekuwa wakisingizia dini lakini pia ni matatizo ya kiuchumi na baadhi ya watu kutaka kudhibiti maslahi yao. Hayo ya Afghanistan na Iraq, nchi hizo zilikuwa stable kama mnakumbuka lakini kuna watu wakavamia na hatimaye dunia imefika hapa ilipo. Kwahiyo kuna haja ya kuangalia chanzo kabla ya kujadili matokeo (outcome).
 
wacha ulongo wako, ni lini iraq ilikuwa na amani? Kama ilikuwa na amani majina ya akina "chemical ali" yalitoka wapi?, umesahau kua wakurdi wengi waliuawa kwasababu c waislam?. Umesikia yanayotokea misri kwa sasa kuwa mabinti wasiowaislam wanalazimishwa kuolewa na waislam wakitataa wanabakwa na wakienda polis hawasikilizwi?. Tukubali ukweli kuwa kunatatizo kwenye mafundisho ya hili dini.
 
Afghanistani ilikuwa stable lini? tangu hata ya USA kuivamia alikaida walikuwa ni tishio kwa serikali kama kawaida, kwani nani aisyejua walivykuwa wanawatesa wanawake wa kiislamu na watoto?
Ukianzisha mada jitahidi kuwa balanced. BOKO ni zadi ya dini. Watu wamekuwa wakisingizia dini lakini pia ni matatizo ya kiuchumi na baadhi ya watu kutaka kudhibiti maslahi yao. Hayo ya Afghanistan na Iraq, nchi hizo zilikuwa stable kama mnakumbuka lakini kuna watu wakavamia na hatimaye dunia imefika hapa ilipo. Kwahiyo kuna haja ya kuangalia chanzo kabla ya kujadili matokeo (outcome).
 
Afghanistani ilikuwa stable lini? tangu hata ya USA kuivamia alikaida walikuwa ni tishio kwa serikali kama kawaida, kwani nani aisyejua walivykuwa wanawatesa wanawake wa kiislamu na watoto?

hata wanaume walikuwa wanateswa- ilikuwa ni lazima kufuga ndevu, bila ndevu no job, mwiko kusikiliza ama kuwa muziki wa kimagharibi and so forth.
 
Nafikiri anfaal Kama ni historia hajaifatilia
vya kutosha huyo sadam wa irak alipokuwa
anauwa wakurdi kwa kemikali na ukatili
mwingine mwingi huo ustable wa irak kwa wakurdi
unaweza kutuelezea walipaswa kuishi ktk
nchi gani
 
Wanaponzwa na dhuluma na uonevu unaofanywa na Marekani na vibaraka wake dhidi ya nchi za Kiarabu.Wamevamia Iraq,Afghanistan,Pakistan n.k kwa madai ya kuwasaka magaidi kumbe ni unafki mtupu.Nia ni kupora rasimali za waarabu na kuua uislam.Uvumilivu una ukomo wake!
 
Na hapa kwetu tanz wameanza wanataka
kutuletea balaa eti wanataka mahakama
ya kadhi na utawala wa sharia najiuliza
niwapi au nchi gani ya kiislam ambayo
tayari wanatumia sharia lakini waishi kwa
Amani hakuna ni mihanga na mabomu
kila kukicha angalia YEMEN
IRAN PALESTINA AFGANSTAN hawako
SALAMA hata NIGERIA hawa ni si watu
wa Amani kabisa CHIMUNGURU.

Haijulikani unaongelea nini.

Inaonyesha unachuki sana na waislamu.

Inchi za waislamu ndio zilizo tawaliwa na wazungu kwa mabavu kama vile Iraq, Afghanistan, Palestane... wao ndio wametawaliwa na wanauliwa kila siku na wazungu, tena inchi karibia 20 za ulaya zinaichangia inchi moja ya kiislam ile waibe mafuta (Petroll) na uwizi mwingine, usipo chunguza mambo vizuri utajikuta unadanganyika vibaya sana na media za leo kama vile CCN, BBC, na zingine... zote hizo zina controlliwa na wazungu, media ipo mikononi mwao wanasema watakavyo 99% za habari zao ni uongo.

Halafu wanadega mabomu wanapo taka hasa Iraq kisha wanawasingizia eti Waislamu wamejilipua.

Wanafanya yote hayo ili wapate chansi ya kuiba petroll ya Iraq na kuitawala zaidi.

Hata waandishi wa habari wa inchi zingine wanawauwa wakienda Iraq.
 
Afghanistani ilikuwa stable lini? tangu hata ya USA kuivamia alikaida walikuwa ni tishio kwa serikali kama kawaida, kwani nani aisyejua walivykuwa wanawatesa wanawake wa kiislamu na watoto?

Hamna Mtoto wala mwanamke anao teswa huko Afghanistan, Nadhani history inakupiga chenga, hii group ya talaban ya Afghanstan ilianzishwa na waamerica wenyewe ili iwapige vita wasovieti wakati walipo ivamia Afghanistan.

Baada ya vita hivyo kwisha na Talaban kushinda, ilitokea mzozo baina ya talaban na America baada ya Afghanistan kukataa pipe ya petroll ipite katika Ardhi yake. sababu hii ndio iliyo anzisha vita baina ya Afghanistan na inchi zote za ulaya pamoja na America kuichangia Afghanistan, sio sababu ya watoto wala nini..

Back
Top Bottom