Wananchi waomba mchanganuo wa matumizi ya pesa za Mzee Sabodo anazowapa Chadema

Utoto ni kitu kibaya!
Je nani amewahi kuisikia Audited Report ya CHADEMA? Mi nahisi hesabu zao hazipo wanajilia tu kinachopatikana kiundugu yaani kichaga na kisingida singida. Kama sipo right please mnirekebishe maana mi sijasikia mahesabu yao yakimwagwa hadharani na huwa siamini sana sehemu ambayo imejaa wachaga
 
Hivi mnaweza kutuonesha repoti za mapato na matumizi ya CDM kwa vipindi hivyo hapo juu?

Najua kuwa ajenda kubwa ya CHADEMA ni mapambano dhidi ya ufisadi ambayo ni muhimu kwa ustawi wa taifa hili.

Na kwa chama makini kama CDM, si dhani kama hili litakuwa tatizo kwa kuwa chama kinaamini kwenye uwazi.

Wengine wanaweza kuja na maswali, iko wapi ya CCM na vyama vingine? Kama kuna mtu anayo anaweza kuipost pia.

NOTE:

Hakuna cha kuficha kwenye mapato na matumizi ya vyama ambavyo lengo lake ni kumkomboa mtanzania kutoka kwenye dimbwi la umaskini.
 
Hivi mnaweza kutuonesha
repoti za mapato na matumizi ya CDM kwa vipindi hivyo hapo juu?

Najua kuwa ajenda kubwa ya CHADEMA ni mapambano dhidi ya ufisadi ambayo
ni muhimu kwa ustawi wa taifa hili.

Na kwa chama makini kama CDM, si dhani kama hili litakuwa tatizo kwa
kuwa chama kinaamini kwenye uwazi.

Wengine wanaweza kuja na maswali, iko wapi ya CCM na vyama vingine? Kama
kuna mtu anayo anaweza kuipost pia.

NOTE:

Hakuna cha kuficha kwenye mapato na matumizi ya vyama ambavyo lengo lake
ni kumkomboa mtanzania kutoka kwenye dimbwi la umaskini.

Hiyo ripoti unataka upewe kama nani kwa cdm?
 
Ripoti ya mapato na matumizi huwa inatolewa kila mwaka na pia inawashirikisha wafadhili wake akiwemo Sabodo.
Vuta subira italetwa hapa muda si mrefu.
 
ripoti ya mapato na matumizi huwa inatolewa kila mwaka na pia inawashirikisha wafadhili wake akiwemo sabodo.
Vuta subira italetwa hapa muda si mrefu.
kuna kile chama cha kule uingereza na shirika moja la kidini la ujerumani linaitwa conrad nao ni wafadhili wakubwa wa chama hiki ambao kimsingi ndo wanaopaswa zaidi kujua matumizi ya chama kwa kuwa wao ndo wanaotoa pesa zao.ila kwa kukumegea tu,asilimia kubwa itakuwa imetumika kufanikisha maandamano.
 
Tumenunu toyota hilux double capin maarufu kama (M4C Jeep) 10, tumeongeza sound sisitimu 4 pamoja na magari yake 2 zimeishaingia mbili next wiki zitatinga pale holili maada huko dar port tumekwepa urasimu.
Tumenunu nyumba na viwanja Dar, arusha, mwanza, shinyanga, dodoma, mbeya kwa ajili ya ujenzi wa ofisi kuu za chama katika maeneo husika pamoja na kujenga vyuo mbali mbali vitakavyotoa elimu ya uongozi uadilifu na uzalendo.
Sijui haya uliyosema zilipendwa zile yalikuwa kweli ama ulikurupuka
Zilizobaki tumenywea! unasemaja sasa??? au u natakaje????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom