Wananchi waomba mchanganuo wa matumizi ya pesa za Mzee Sabodo anazowapa Chadema

Uliza maswali ya msingi wewe, kama mapato na matumizi ya serekali yako ya vilaza na sio mambo ya Chadema na Sabodo ambayo hayana tija kwa maisha ya mtanzania wa kawaida.
 
Mkuu Ritz
Mchanganuo anaujua Mbowe, Dr. Slaa na mweka hazina mzee Mtei; ukitaka kufukuzwa Chadema ulizia mchanganuo wa pesa
wewe ulizia M4C wapi watakupa majibu lakini kwenye pesa sahau

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hao wananchi ni akina nani? Je hao the so called wananchi hizo hela zinawahusu kweli? Binafsi naona hizo hela haziwahusu hao wananchi ambao nadhani ni wewe. Kama wanataka hela zinazowahusu wamfuate sabodo wamwombe awape. Hizo za CDM ni za kuimarisha chama chao. Waulizane wenyewe (CDM)kama hazitafanya hivyo. So sie wengine tukae kimya hazituhusu na tuache wivu.
Wanabodi.

Mzee Sabodo akitoa hundi kwa viongozi wa Chadema, wananchi wanahoji hizo pesa anazotoa Mzee Sabodo mpaka sasa hivi zimeishafanya kazi gani katika chama, au zimeelekezwa katika miradi gani wananchi wanaomba mchanganuo wa hizo pesa ili wafadhili wengine wajitolee kuchangia chama.
DSC_9455.JPG

sabodo.jpg
SabodoMbowe.jpg

106526237.jpg

DSC00634.JPG

_MG_0736.jpg
 
Mkuu Ritz
Mchanganuo anaujua Mbowe, Dr. Slaa na mweka hazina mzee Mtei; ukitaka kufukuzwa Chadema ulizia mchanganuo wa pesa
wewe ulizia M4C wapi watakupa majibu lakini kwenye pesa sahau

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama,
Ebu angalia hizi picha kwa umakini utamuona Dr Slaa na Mbowe wanacheka huku wakipokea hundi kutoka Mzee Sabodo.

Jiulize kwa nini hawakumtuma Mkurugenzi wa Fedha wa Chadema au Lema kwenda kuchukuwa hizo hundi.

Mpaka sasa hakuna hata kisima kimoja cha maji ambacho kimejengwa.
 
Last edited by a moderator:
Hao wananchi ni akina nani? Je hao the so called wananchi hizo hela zinawahusu kweli? Binafsi naona hizo hela haziwahusu hao wananchi ambao nadhani ni wewe. Kama wanataka hela zinazowahusu wamfuate sabodo wamwombe awape. Hizo za CDM ni za kuimarisha chama chao. Waulizane wenyewe (CDM)kama hazitafanya hivyo. So sie wengine tukae kimya hazituhusu na tuache wivu.

Mkuu Chadema ni kampuni ya watu binafsi au chama cha siasa? Kama hutaki Chadema wahojiwe basi sio chama ni kampuni binafsi.
 
weee umeona leo itv ccm wakipigana kwa ajili ya uchaguzi musoma kawaulize ni kwa nini wamekula posho ya kikao halafu wao wanapigana badala ya kufanya waliotumwa ....wamekula kodi yetu kama ruzuku japo wewe hujui paye kwa vile payrol yako ni ya mfukoni kwa nanihiii
 
Mkuu chama,
Ebu angalia hizi picha kwa umakini utamuona Dr Slaa na Mbowe wanacheka huku wakipokea hundi kutoka Mzee Sabodo.

Jiulize kwa nini hawakumtuma Mkurugenzi wa Fedha wa Chadema au Lema kwenda kuchukuwa hizo hundi.

Mpaka sasa hakuna hata kisima kimoja cha maji ambacho kimejengwa.

Mkuu Ritz;
Jamaa wapo mkao wa ufisadi tu hivi wameshawahi hata siku moja kumchukua mzee Sobodo kumuonyesha visima walivyochimba? Kwenye mambo ya fedha mkurugenzi ni Mbowe na Dr. Slaa

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hebu tuanze kumuhoji huyu jamaa yako, ni kwa nini amezungukwa na Wazungu tupu na hakuna hata mswahili mmoja? yaani mtu anauza nchi kama ya kwake !? Pyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!
View attachment 67620
Hana ujanja hapo, amebanwa anacheka cheka tu...naona ni wanasheria watupu hapo, wakati yeye hata askari wake kafukuzwa
 
weee umeona leo itv ccm wakipigana kwa ajili ya uchaguzi musoma kawaulize ni kwa nini wamekula posho ya kikao halafu wao wanapigana badala ya kufanya waliotumwa ....wamekula kodi yetu kama ruzuku japo wewe hujui paye kwa vile payrol yako ni ya mfukoni kwa nanihiii

Mkuu kama CCM wanagombania posho za uchaguzi, Chadema nao wanapata Excuse ya kutafuna mamilioni ya Mzee Sabodo.
 
kwani wapi ulisikia cdm wametafuna mzee katoa sio kwa cdm tu hata ccm wamepewa ungekuwa wa maana ungesema mzee katoa kiasi hichi kwa ccm wakafanya hichi halafu useme cdm wamehonga ningekuelewa
nenda musoma na dar na moro ujue kiasi cha posho kimechezewa
 
Mkuu wananchi wanaomba mchanganuo wa matumizi ya pesa za Mzee Sabodo.
 
Mkuu kama CCM wanagombania posho za uchaguzi, Chadema nao wanapata Excuse ya kutafuna mamilioni ya Mzee Sabodo.

Mkuu Ritz,hundi za Sabodo ni MoU kati ya wahindi na CDM hivi umeshawahi kusikia wakiwatuhumu hawa jamaa kwa ufisadi? mafisadi wanaowaona wao ni wenzetu tu wenye asili ya kimatumbi ma makabila mengine kwa wahindi ni haki yao kuendelea kutuibia.
 
Wanabodi.

Mzee Sabodo akitoa hundi kwa viongozi wa Chadema, wananchi wanahoji hizo pesa anazotoa Mzee Sabodo mpaka sasa hivi zimeishafanya kazi gani katika chama, au zimeelekezwa katika miradi gani wananchi wanaomba mchanganuo wa hizo pesa ili wafadhili wengine wajitolee kuchangia chama.

Hao wananchi wasio na upeo wa fikra washauri kwanza waulizie mchanganuo wa pesa zao za kodi zilizochotwa EPA na MEREMETA kabla ya kuulizia michango ya Sabodo Chadema!!
 
Mkuu Ritz,hundi za Sabodo ni MoU kati ya wahindi na CDM hivi umeshawahi kusikia wakiwatuhumu hawa jamaa kwa ufisadi? mafisadi wanaowaona wao ni wenzetu tu wenye asili ya kimatumbi ma makabila mengine kwa wahindi ni haki yao kuendelea kutuibia.

Mkuu Kata nyodo,
Nashukuru sana kwa kutuweka wazi kwenye suala ili nyeti, kumbe ni MoU kweli wahindi kiboko wamejipenyeza mpaka ndani za Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Je nani amewahi kuisikia Audited Report ya CHADEMA? Mi nahisi hesabu zao hazipo wanajilia tu kinachopatikana kiundugu yaani kichaga na kisingida singida. Kama sipo right please mnirekebishe maana mi sijasikia mahesabu yao yakimwagwa hadharani na huwa siamini sana sehemu ambayo imejaa wachaga
 
Ndugu yangu usijudge kabila la mtu kwa matendo ya mtu mmoja hesabu za chama zipo makao makuu nenda wakupe.

Naona hoja ilikua uchaga hapa pole sana unaweza jenga hoja bila kutaja kabila la mtu.
 
Back
Top Bottom