Wananchi waomba mchanganuo wa matumizi ya pesa za Mzee Sabodo anazowapa Chadema

Chadema walivyo na midomo mbembe! Ukiona wako kimya jua hawana jibu, wangekuwa nalo wangetoa tu kwa sababu kwa mdomo wamejaliwa...

Mkuu hivi kisima kimoja cha maji kinaweza kugharimu kiasi gani cha pesa?
 
we mwongo labda ungetaja kina nani wanaotaka mambo hayo kwa sababu na mimi ni mwananchi lkn sijataka
 
Wanabodi.

Mzee Sabodo akitoa hundi kwa viongozi wa Chadema, wananchi wanahoji hizo pesa anazotoa Mzee Sabodo mpaka sasa hivi zimeishafanya kazi gani katika chama, au zimeelekezwa katika miradi gani wananchi wanaomba mchanganuo wa hizo pesa ili wafadhili wengine wajitolee kuchangia chama.
DSC_9455.JPG

sabodo.jpg
SabodoMbowe.jpg

106526237.jpg

DSC00634.JPG

_MG_0736.jpg

Matunda ya M4C unajifanya huyaoni
 
Kichwa Ngumu,
Unaweza kutuambia hizo pesa za Mzee Sabodo, zimejenga visima vya maji vingapi?
visima vinavyochimbwa sio vya kienyeji ambacho kinaweza kukamilika kwa siku kumi isitoshe CDM sio drilling co. kwa hiyo kuna mchakato wa tendering ili kupata contractor. upo we kibalaka wa nepi
 
Kweli umeishiwa ukiwa ktk system kweli hata mawazo usinyaa. Tofautisha pesa za Chenge na Sabodo. Sipashwi kuumiza kichwa ku2eleza
 
Wanabodi.

Mzee Sabodo akitoa hundi kwa viongozi wa Chadema, wananchi wanahoji hizo pesa anazotoa Mzee Sabodo mpaka sasa hivi zimeishafanya kazi gani katika chama, au zimeelekezwa katika miradi gani wananchi wanaomba mchanganuo wa hizo pesa ili wafadhili wengine wajitolee kuchangia chama.
DSC_9455.JPG

sabodo.jpg
SabodoMbowe.jpg

106526237.jpg

DSC00634.JPG

_MG_0736.jpg

Kikao kipi kimekukutanisha na hao wananchi???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
visima vinavyochimbwa sio vya kienyeji ambacho kinaweza kukamilika kwa siku kumi isitoshe CDM sio drilling co. kwa hiyo kuna mchakato wa tendering ili kupata contractor. upo we kibalaka wa nepi

Mkuu wewe niite upendavyo wala usihofu, hivyo visima vya kisasa vinachukuwa muda gani mpaka vikamilike? Na vimejengwa sehemu gani mkuu.
 
Hizi fedha wakati zikitolewa zilikuwa tayari na maelekezo nini zikafanye, it was good for you to ask HIYO KAZI IMEFIKIA wapi,,,,nyingi zilielekezwa kwenye kuchimba visima kila jimbo lenye mbunge wa CHADEMA na mwenye kuhitaji hilo
 
Wanabodi,
Wote tuna uchungu na nchi yetu tupambane na ufisadi mbona watanzania humu JF wanahoji kuhusu pesa za EPA, Kagoda, pesa za Uswisi, kwa ni hamtaki wananchi wahoji pesa za Sabodo.[/QTuna haki ya kuhoji pesa za epa,kagoda,pesa za uswisi kwa sababu zinatokana na kodi za wananchi ndio maana kila siku tunapiga kelele safari za Jk kwa sababu anatumia kodi zetu hakuna anayejisumbua na pesa za sabodo kwa sababu ni pesa zake binafsi
 
Mzee Sabodo kila anapotoa pesa ameelekeza zikafanye nini na kwakuwa pesa ya mzee sabodo siyo kodi ya watanzania mwenye haki ya kuhoji ni sabodo lakini kukurahisishia ni kwamba pesa hizo zinafanya kazi kama alivyoelekeza mfano yule mama aliefiwa na mmewe kwenye maandamano ya chadema kuna check ya mil 5 x 3 walipewa
 
Kuna mada huwa zinachekesha sana unahoji fedha ambayo sio jasho lako fedha yako ya kodi ambayo ndio jasho lako auhoji hembu kamhoji mkurugenzi wa halimashauli yako fedha za mapato na matumizi ya halimashauli tuone kama kweli unauchungu na nchi ni kwanini hauchukui hatua kuona fedha za umma zinatumika vibaya kwenye vikirimu na vitafunwa.
 
Mzee Sabodo kila anapotoa pesa ameelekeza zikafanye nini na kwakuwa pesa ya mzee sabodo siyo kodi ya watanzania mwenye haki ya kuhoji ni sabodo lakini kukurahisishia ni kwamba pesa hizo zinafanya kazi kama alivyoelekeza mfano yule mama aliefiwa na mmewe kwenye maandamano ya chadema kuna check ya mil 5 x 3 walipewa

Kama pesa anatoa Sabodo, mkizitafuna ni marufuku kuhojiwa?
 
Wanabodi,
Wote tuna uchungu na nchi yetu tupambane na ufisadi mbona watanzania humu JF wanahoji kuhusu pesa za EPA, Kagoda, pesa za Uswisi, kwa ni hamtaki wananchi wahoji pesa za Sabodo.

Hizo ulizotaja hapo zote ni zetu through Tax kaka!!! Hizo ambae anaweza hoji matumizi yake ni Mzee Sobodo mwenyewe koz ni his money after Tax!!! Beside alikua anawapa CCM b4 until alipoona CCM hawazifikishi kwa walengwa ndo akamake a turning point!!!!
 
Mkuu wewe niite upendavyo wala usihofu, hivyo visima vya kisasa vinachukuwa muda gani mpaka vikamilike? Na vimejengwa sehemu gani mkuu.

Wewe ndiyo useme wanaolalamika ni wananchi gani wa wapi! tumechoka na pumba zako!
 
Mkuu Mungi kwa hiyo picha uliyotuwekea hapo juu hamna haja hata ya Mimi Kucomment umemaliza kila kitu wewe ni genius kamanda
 
Last edited by a moderator:
Mzee Sabodo kila anapotoa pesa ameelekeza zikafanye nini na kwakuwa pesa ya mzee sabodo siyo kodi ya watanzania mwenye haki ya kuhoji ni sabodo lakini kukurahisishia ni kwamba pesa hizo zinafanya kazi kama alivyoelekeza mfano yule mama aliefiwa na mmewe kwenye maandamano ya chadema kuna check ya mil 5 x 3 walipewa
Usiumize kichwa kumwelewesha mpumbavu asiyejijua. Namkubali sana Mzee Mwanakijiji kuwa si kila thread ni ya kuchangia

Kama pesa anatoa Sabodo, mkizitafuna ni marufuku kuhojiwa?

Mzee Sabodo kama mhusika mkuu hajahoji, na wala hana mashaka kwa kuwa pesa zake zinafanya kazi zilizokusudiwa. hao wananchi ni nani? Au unafurahia kujaza upumbavu humu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom