Wananchi wakiamua polisi, jeshi, mitutu ni bure kabisa

mchakachuaji

Member
Aug 12, 2010
58
7
Baada ya kuiona hali halisi ya jiji la Mbeya ambapo wamachinga wamekwaruzana na polisi kwa muda wa masaa 10 tumejifunza kwamba wananchi wakiamua hakuna awezaye kuwazuia.

Vurugu za Mbeya zinaonekana hazikuendeshwa na wamachinga peke yao bali hata wananchi wa kawaida walishiriki kuonesha kutokubaliana na hatua ya wamachinga kufukuzwa katika maeneo yao ya biashara bila kupewa eneo mbadala. Hawa watendaji wanakurupuka kwani walishabomoaga soko la BIGBROTHER usiku na kuwafidia wamachinga wakajenga tena palepale siku hiyo hiyo, hii ni akili au matope?
 
Nakubaliana na wewe kweli wananchi wakiamuwa yote yanawezekana..

Lakini sio Chadema kama kuamua Chadema wameishaamua sana lakini wapi..

Juzi waliamua Arusha walishia kukimbia hovyo, huwezi kuamua na wabunge 23
 
Riz1 fyi mbunge 1 wa CDM ni sawa na wabunge 20 wa magamba
 
Baada ya kuiona hali halisi ya jiji la Mbeya ambapo wamachinga wamekwaruzana na polisi kwa muda wa masaa 10 tumejifunza kwamba wananchi wakiamua hakuna awezaye kuwazuia.

Vurugu za Mbeya zinaonekana hazikuendeshwa na wamachinga peke yao bali hata wananchi wa kawaida walishiriki kuonesha kutokubaliana na hatua ya wamachinga kufukuzwa katika maeneo yao ya biashara bila kupewa eneo mbadala. Hawa watendaji wanakurupuka kwani walishabomoaga soko la BIGBROTHER usiku na kuwafidia wamachinga wakajenga tena palepale siku hiyo hiyo, hii ni akili au matope?

Kikwete na serekali yake wana akili za matope. Hawawezi hata kufikiria ya maana. Nchi imekuwa genge la wahuni.
 
Nakubaliana na wewe kweli wananchi wakiamuwa yote yanawezekana..

Lakini sio Chadema kama kuamua Chadema wameishaamua sana lakini wapi..

Juzi waliamua Arusha walishia kukimbia hovyo, huwezi kuamua na wabunge 23

CDM iko pamoja na wananchi walio kinyume na Serikali ya CCM, kwa mantiki hiyo wanaoipinga CCM wote ni Chadema. Nashukuru kwa kukubali na nadhani mmeona mfano Mwanza, Arusha, kilimanjaro na Mbeya bado Dar.

Siku zenu zinahesabika mwambieni mkuu wa Kaya asome alama za nyakati asiongoze hii nchi kana kwamba anakufa kesho.
 
Kama watanzania wote ni Chadema kwa nini mlipata wabunge 23?
 
Cdm ndio wanaoingoza nchi usiwe mbishi ccm na serikali yake legelege wameshindwa hata kuchapa mitihani ya darasa la 4 kuna serikali hapo nchi imefilisika kila mtu anajua tunasubiri muda muafaka tuichukue nchi yetu muda muafaka ukifika hakuna cha ccm c yaani polisi au jeshi atakae zuia
 
Back
Top Bottom